Kujiuzulu kwa Rais Zuma wa SA kumenikumbusha Lowassa na sakata la Richmond

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
47,783
2,000
Rais Zuma amesema hajafanya makosa yoyote ila anajiuzulu ili chama chake cha ANC kisipasuke katikati. Hii sababu ya Zuma imenikumbusha ile sababu ya mh Lowassa kwamba yeye hajatenda kosa lolote ila anajiuzulu ili kuinusuru serikali isianguke. Nimeipenda hii sababu ya " kunusuru" inayopenda kutolewa na viongozi wa Afrika pindi wanapolazimika/ lazimishwa kujiuzulu. Mlale unono usiku mwema!
 
Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
22,506

Wakati wowote bundi anatua Tanganyika simpatii picha Yule mwenye moyo wa betrii
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
24,103
2,000
Zuma alikuwa na kashfa za Rushwa 2009 wapambe wake wakiongozwa na Malema wakasema ni maadui zake wa Kisiasa wanamchafua ikapelekea Thabo Mbeki alazimishwe kujiuzulu

2018 Malema Yule Yule anakumbushia kashfa zile zile na kukiri ni Tuhuma za kweli na hatimae Zuma analazimishwa kujiuzulu

Lowassa angeshinda Urais 2015 wapambe wake ambao walikuwa wanamtetea lakin angewatosa kwenye Ulaji wangerudi mtaani kutukumbusha kuhusu Richmond
 
Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
7,255
2,000
Rais Zuma amesema hajafanya makosa yoyote ila anajiuzulu ili chama chake cha ANC kisipasuke katikati. Hii sababu ya Zuma imenikumbusha ile sababu ya mh Lowassa kwamba yeye hajatenda kosa lolote ila anajiuzulu ili kuinusuru serikali isianguke. Nimeipenda hii sababu ya " kunusuru" inayopenda kutolewa na viongozi wa Afrika pindi wanapolazimika/ lazimishwa kujiuzulu. Mlale unono usiku mwema!
lala unono kivyako huko
 
Ndahani

Platinum Member
Jun 3, 2008
17,678
2,000
Rais Zuma amesema hajafanya makosa yoyote ila anajiuzulu ili chama chake cha ANC kisipasuke katikati. Hii sababu ya Zuma imenikumbusha ile sababu ya mh Lowassa kwamba yeye hajatenda kosa lolote ila anajiuzulu ili kuinusuru serikali isianguke. Nimeipenda hii sababu ya " kunusuru" inayopenda kutolewa na viongozi wa Afrika pindi wanapolazimika/ lazimishwa kujiuzulu. Mlale unono usiku mwema!

Rais Zuma ni mmoja wa viongozi wabovu bara hili imewahi kuwapata. Rushwa ni adui mkubwa wa haki. Rushwa ilimfumba macho kabisa akasahau kama anatakiwa kuwatumikia wananchi walioipigia kura ANC.

Baada ya kumuondoa Thabo Mbeki kwa hila, hatimaye na yeye ameondoka kwa style ile ile...tofauti ni kuwa yeye bado ana mlima mrefu sana wa kuukwea ili kukwepa kifungo cha mahakama
 
Doto Dotto

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
3,030
2,000
Upepo umegeuka alichomfanyia Thabo Mbeki ndo hicho kimemrudia yeye. Malipo ni hapa hapa duniani
 
nkese

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
3,030
2,000
Bado jamaa wa E.Africa anayejinasibu mtetezi wa wanyonge .
Miradi ya ujenzi wa miundo mbinu,utoaji tenda kishikaji n.a. kinyume cha taratibu/sheria zitamgharimu iwapo watu wenye "uzalendo"wa dhati wataamua kuweka masilahi ya nchi mbele.

A.Kusini wana Malema, Tz tuna Lissu. Tofauti ni "wanatumikaje?"
 
Mbona wewe hujitaji unamsakizia Lissu!
 
Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
26,102
2,000
Kuna watu walibisha kuwa Zuma haondoki ikulu....! Nawatafuta niskie wanasema nini sasa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom