jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,532
Manji ni mmoja wa waliotajwa na Makonda katika sakata la watuhumiwa wa madawa ya kulevya.
Mara baada ya kutajwa Manji alianzisha mtafaruku mkubwa ikiwa ni pamoja na kwenda na wafuasi kadhaa wa yanga kituo cha polisi,pia alionekana kwenda kifahari sana pale kituo cha polisi...lakini baadaye hatukumsikia akitamba kabisa hadi leo hii tunasikia akiiachia Yanga ambayo pengine ilikuwa ni maficho ya ubaya wake kuhusu ngada.
Je katika hili tumpongeze makonda kwa ushindi wa awali dhidi ya wauza madawa ya kulevya?