Lindembwee
Senior Member
- Aug 15, 2018
- 144
- 94
Habari wana jf, naomba kuuliza hivi mtu mwenye post graduate diploma ya accountancy, anaweza kuanza na level gani kufanya mitihani ya bodi? Ila degree yake ni non accounting.
Nadhani Foundation stage bila shaka ngoja wajuzi zaidi waje.Habari wana jf, naomba kuuliza hivi mtu mwenye post graduate diploma ya accountancy, anaweza kuanza na level gani kufanya mitihani ya bodi? Ila degree yake ni non accounting.
Mbona mimi nna degree haihusiani na aacountant na nilianza foundatuon stageKama diploma yako umechukua chuo kilosajiliwa na NBAA bs utaanza foundation stage
Kama hakijasajiliwa bs unaanza tecnichian level 1 na 2
Degree ilokua sio ya account haihusiani na CPA
Diploma ulisoma ya nn?Mbona mimi nna degree haihusiani na aacountant na nilianza foundatuon stage
Diploma ya nn au wametoka 6?je, kwa mwenye degree ya Finance and Banking anaanzia wapi
Sina diploma mkuu... ni degree tu nshu za social science....o levo huko ndo nilisomaga bokkeeping na commerceDiploma ulisoma ya nn?
sijakusoma mazeeDiploma ya nn au wametoka 6?
Mkuu ni vema ungetembelea ofisi zao kama upo dsm au uwapigie simu mara nyingi uwa inapokelewa na watu wa registration ili uweze kupata msaada zaidiHabari wana jf, naomba kuuliza hivi mtu mwenye post graduate diploma ya accountancy, anaweza kuanza na level gani kufanya mitihani ya bodi? Ila degree yake ni non accounting.
Mkuu asante. Leo nimebahatika kuwa tembelea kwenye ofisi zao. Walicho niambia nikwamba wenyewe wana consider degree ya kwanza wala sio postgraduate. Kama degree ya kwanza ya kwanza ulisoma non accounting utaanza foufation stage.. Ambapo utapiga mitihani mitano na kipa pepa ni laki moja plus usajili laki mbili na nusu.. Kwahyo around mia saba hiv.Mkuu ni vema ungetembelea ofisi zao kama upo dsm au uwapigie simu mara nyingi uwa inapokelewa na watu wa registration ili uweze kupata msaada zaidi
Kila Pepa laki moja. Kwahyo soon tutaanza kupiga shule. Kama kuna wajuzi humu tupeane maujanja ya kutusua pepa vizuri.Mkuu asante. Leo nimebahatika kuwa tembelea kwenye ofisi zao. Walicho niambia nikwamba wenyewe wana consider degree ya kwanza wala sio postgraduate. Kama degree ya kwanza ya kwanza ulisoma non accounting utaanza foufation stage.. Ambapo utapiga mitihani mitano na kipa pepa ni laki moja plus usajili laki mbili na nusu.. Kwahyo around mia saba hiv.
Ifm nimesoma. Sasa hilo LA kusajiliwa na bodi sina uhakika .Kama diploma yako umechukua chuo kilosajiliwa na NBAA bs utaanza foundation stage
Kama hakijasajiliwa bs unaanza tecnichian level 1 na 2
Degree ilokua sio ya account haihusiani na CPA
Imesajiliwa ifm unaanza foundationIfm nimesoma. Sasa hilo LA kusajiliwa na bodi sina uhakika .
Cha ajabu foundation level hawatoi chetiImesajiliwa ifm unaanza foundation
Are u sure?Cha ajabu foundation level hawatoi cheti
Nitafute. Nafundisha review classes.Mkuu asante. Leo nimebahatika kuwa tembelea kwenye ofisi zao. Walicho niambia nikwamba wenyewe wana consider degree ya kwanza wala sio postgraduate. Kama degree ya kwanza ya kwanza ulisoma non accounting utaanza foufation stage.. Ambapo utapiga mitihani mitano na kipa pepa ni laki moja plus usajili laki mbili na nusu.. Kwahyo around mia saba hiv.