Kujiunga na mitihani ya bodi NBAA.

Lindembwee

Senior Member
Aug 15, 2018
144
225
Habari wana jf, naomba kuuliza hivi mtu mwenye post graduate diploma ya accountancy, anaweza kuanza na level gani kufanya mitihani ya bodi? Ila degree yake ni non accounting.
 
Mpombote

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
1,872
2,000
Habari wana jf, naomba kuuliza hivi mtu mwenye post graduate diploma ya accountancy, anaweza kuanza na level gani kufanya mitihani ya bodi? Ila degree yake ni non accounting.
Nadhani Foundation stage bila shaka ngoja wajuzi zaidi waje.
 
Bwege Hatari

Member
Oct 19, 2018
72
125
Kama diploma yako umechukua chuo kilosajiliwa na NBAA bs utaanza foundation stage
Kama hakijasajiliwa bs unaanza tecnichian level 1 na 2
Degree ilokua sio ya account haihusiani na CPA
 
Simon Adebisi

JF-Expert Member
Aug 7, 2018
568
1,000
Kama diploma yako umechukua chuo kilosajiliwa na NBAA bs utaanza foundation stage
Kama hakijasajiliwa bs unaanza tecnichian level 1 na 2
Degree ilokua sio ya account haihusiani na CPA
Mbona mimi nna degree haihusiani na aacountant na nilianza foundatuon stage
 
mtwa kinte

Senior Member
Sep 2, 2015
135
250
Habari wana jf, naomba kuuliza hivi mtu mwenye post graduate diploma ya accountancy, anaweza kuanza na level gani kufanya mitihani ya bodi? Ila degree yake ni non accounting.
Mkuu ni vema ungetembelea ofisi zao kama upo dsm au uwapigie simu mara nyingi uwa inapokelewa na watu wa registration ili uweze kupata msaada zaidi
 
Lindembwee

Senior Member
Aug 15, 2018
144
225
Mkuu ni vema ungetembelea ofisi zao kama upo dsm au uwapigie simu mara nyingi uwa inapokelewa na watu wa registration ili uweze kupata msaada zaidi
Mkuu asante. Leo nimebahatika kuwa tembelea kwenye ofisi zao. Walicho niambia nikwamba wenyewe wana consider degree ya kwanza wala sio postgraduate. Kama degree ya kwanza ya kwanza ulisoma non accounting utaanza foufation stage.. Ambapo utapiga mitihani mitano na kipa pepa ni laki moja plus usajili laki mbili na nusu.. Kwahyo around mia saba hiv.
 
Lindembwee

Senior Member
Aug 15, 2018
144
225
Mkuu asante. Leo nimebahatika kuwa tembelea kwenye ofisi zao. Walicho niambia nikwamba wenyewe wana consider degree ya kwanza wala sio postgraduate. Kama degree ya kwanza ya kwanza ulisoma non accounting utaanza foufation stage.. Ambapo utapiga mitihani mitano na kipa pepa ni laki moja plus usajili laki mbili na nusu.. Kwahyo around mia saba hiv.
Kila Pepa laki moja. Kwahyo soon tutaanza kupiga shule. Kama kuna wajuzi humu tupeane maujanja ya kutusua pepa vizuri.
 
Lindembwee

Senior Member
Aug 15, 2018
144
225
Kama diploma yako umechukua chuo kilosajiliwa na NBAA bs utaanza foundation stage
Kama hakijasajiliwa bs unaanza tecnichian level 1 na 2
Degree ilokua sio ya account haihusiani na CPA
Ifm nimesoma. Sasa hilo LA kusajiliwa na bodi sina uhakika .
 
konda msafi

JF-Expert Member
Sep 5, 2018
372
1,000
Mkuu asante. Leo nimebahatika kuwa tembelea kwenye ofisi zao. Walicho niambia nikwamba wenyewe wana consider degree ya kwanza wala sio postgraduate. Kama degree ya kwanza ya kwanza ulisoma non accounting utaanza foufation stage.. Ambapo utapiga mitihani mitano na kipa pepa ni laki moja plus usajili laki mbili na nusu.. Kwahyo around mia saba hiv.
Nitafute. Nafundisha review classes.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom