Kujitolea field ya Information communication technology

curry_atomic

Member
Mar 30, 2020
57
48
Habariii wana familia.......mimi ni kijana nilie maliza masomo ya chuo kikuu cha dodoma Bachelor of information systems mwaka huu mwezi wa 8 wakati huu nikiwa nasubiria matokeo ya muhula wa mwisho nilikua natafuta sehem ya kujitolea kuimariasha taaluma yangu kupata experience na kujifunza zaidi jinsi kazi zinavyofanyika....nipo tayari kujitolea sehem yoyote nitakapopata nafasi
Nina ujuzi katika mambo yafuatayo

Database management system
Programming (Java, JavaScript,php(Laravel),c#)
Machine learning
Deep learning
Networking
Window server administration

Natanguliza shukranii
 
huu mda unaosubiri kujitolea jaribu kufanya personal project cos IT ya darasan tunaijui sisi
 
Juu ya jambo la kupata sehemu ya kujitolea ukiniuliza mimi ntakwambia inaweza ikawa sio njia bora sana

Kwanini nasema hivi Institutions nyingi ambazo application ya ICT ni ya kiwango kikubwa utakuta mifumo yao ishakuwa installed tayari and the logic is they won't let anyone mess with their systems.They only let their administrators do the job

Na kama hili litaprove kuwa right basi wewe ata ukipata hiyo nafasi utaenda kuwa mwangalizi au mtu wa kutumwa and probably unachotamani upate utakikosa

Umesema umesoma UDOM sio? nakupa story nzuri juu ya mambo ya kujitolea.Kuna jamaa zangu walibaki pale hivo hivo wakiwa na malengo kama yako but guess siku naenda kuwaona nimewakuta utawala kazi yao kubwa niliona ilkuwa ni kupokea simu za college na kufungua case za computer na kuzifunga

Mwisho kabisa umesema kwenye database unavitu unavijua na kwenye programming uko na kitu.Kama ni hivyo basi chukua mashine yako kuwa unapiga project zako taratibu huku ukisubiri matokeo .Hii inaweza kuwa njia nyepesi ya kujipatia ujuzi.

Thank You.
 
Shukraniii kaka kwa ushaurii
 
Programming (Java, JavaScript,php(Laravel),c#
-Mkuu ni pm account yako github nijiridhishe uwezo wako wa java, pia nilikua nataka kuona project ulizofanya kwenye izo language hapo juu

Machine learning
-mbona ume mention ML kuwa specific unawaza fanya nn kwa kitimia alogarithms pia language gani unatumia

Deep learning
-pia hapa elezea kidogo DL nini nini, sema language au project iliyoifanya
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom