Kujitoa kwa upinzani katika uchaguzi huu ni jambo la heri sana hata kwa wapiga kura

uungwana classic

JF-Expert Member
Jun 9, 2014
2,324
2,079
Ni jambo la heri kujitoa kwa upinzani katika uchaguzi huu kama wangejitoa wapinzani wote ili wao wapite bila kupingwa kwa point hizi
1.kiuchumi
Pesa ambazo zingetumika katika uchaguzi zitaweza kufanya shughuli zingine maana ni dhahiri hakuna upinzani kushinda hata kwa dawa
2.upotevu wa muda wa wapiga kura na vurugu ndogondogo katika vituo siku ya uchaguzi itakuwa imeepukwa kwa kiasi kikubwa
Hakuta kuwa na uhitaji wa wapiga kura kwenda kupanga foleni na kupoteza muda wao ambao wangetumia kufanya shughuli zao za kiuchumi maana ni dhahiri kura zao hazitahitajika kuifanya ccm ishinde
Kwa maana hiyo basi inatakiwa wapinzani wote wajitoe ili wapite bila kupingwa sio kwa lengo la kuiabisha ccm maana ishakuwa kichaa anayetembea uchi hakutakuwa na namna yakuiaibisha tena bali kuwasaidia wananchi na kodi za wananchi zisitumike kuwadanganya haohao wananchi, wanaoisapoti ccm wanadanganywa kuwa wameshinda kwa kishindo wakati wasioisapoti wanadanganywa kuwa wameshindwa kwa kishindo
 
LAZIMA IWEPO PLAN YA KUITOA CCM.

KWA KURA MILELE CCM HAIONDOKI , WAKO TAYARI KUUWA WATU NA WAMESHAUWA HAPO KABLA.

TUSIKUBALI KUHANISIWA NA KUTIWA VIDOLE NA MAGAIDI HAWA
 
Namna yakuitoa ccm ipo we sema hakuna anayetaka kuitoa hata wanaojiita viongozi wa upinzani wanapiga kelele kwa maslahi yao tu,
 
Mnaosema au kutaka kuitoa CCM madarakani manaichukulia kama mtu. Lakini CCM ni taasisi iliyojengeka, kukomaa na kuimarika ndani na nje ya Tanzania.

Vyama vingine vya siasa ama ni SACCOS za wanasiasa wachumia tu na wenye uchu wa madaraka au ni vyama vya mifukoni.

MJIFIKIRISHE
 
OP
 
Ata uchaguzi mkuu wajitoe dalili zishaanza kuonekana mapema kabisa
Vyama vya upinzani wasijaribu kujitoa

Wakijaribu kujitoa wakifikiri watapata huruma ya watu haita kaa itokee wajitahidi kupigana kiume japo mazingira ni magumu,mfano mzuri chaguzi nyingi Rwanda ya Kagame ,Burundi,sudani ya kaskazini iliyokuwa ya Ally Bashiri wapinza huwa wanajitoa sikuwahi kusikia Kama kujitoa kwao kulibadilisha kitu,na pia wapinzani wafikirie na kujiuliza walivyo jitoa kwenye sirikali za mitaa Kuna mabadiliko yoyote yaliyotokea,Jambo la msingi wajiandae kwa mazingira yeyote wasiache nafasi ya CCM kupumua japo hawatatangazwa washindi kwa maeneo mengi tukianza na Jimbo la mbowe.
 
Kuna jimbo laMbowe?!
 
Kujitoa sio kuhitaji huruma mkuu ni kwanza kuonesha uovu wa serikali katika uchaguzi na kama huna uwezo wa kucheza rafu bora ukaachana na mechi ambayo ni ya rafu ukaijpange kwanza nje ya uwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom