uungwana classic
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 2,324
- 2,079
Ni jambo la heri kujitoa kwa upinzani katika uchaguzi huu kama wangejitoa wapinzani wote ili wao wapite bila kupingwa kwa point hizi
1.kiuchumi
Pesa ambazo zingetumika katika uchaguzi zitaweza kufanya shughuli zingine maana ni dhahiri hakuna upinzani kushinda hata kwa dawa
2.upotevu wa muda wa wapiga kura na vurugu ndogondogo katika vituo siku ya uchaguzi itakuwa imeepukwa kwa kiasi kikubwa
Hakuta kuwa na uhitaji wa wapiga kura kwenda kupanga foleni na kupoteza muda wao ambao wangetumia kufanya shughuli zao za kiuchumi maana ni dhahiri kura zao hazitahitajika kuifanya ccm ishinde
Kwa maana hiyo basi inatakiwa wapinzani wote wajitoe ili wapite bila kupingwa sio kwa lengo la kuiabisha ccm maana ishakuwa kichaa anayetembea uchi hakutakuwa na namna yakuiaibisha tena bali kuwasaidia wananchi na kodi za wananchi zisitumike kuwadanganya haohao wananchi, wanaoisapoti ccm wanadanganywa kuwa wameshinda kwa kishindo wakati wasioisapoti wanadanganywa kuwa wameshindwa kwa kishindo