Kujitangaza facebook - kujishuku

gango

Member
Feb 24, 2010
32
6
hivi kunaulazima kama umetengana na boyfriend/girlfriend wako kwenda kuanika kwa FACEBOOK!!!

inaulazima kiasi gani, afu mara nyingi yule anayekuwa na makosa ndo wakwanza kujishuku kwa FB

teh teh
 
inakua na psychological relief nadhani. haina tofauti na 'kutangaza' humu jf kama umekua cheated au hata kuachana na mwenza wako. tofauti maybe ni kuwa fb marafiki ni watu ambao unawajua in person kuliko wa jf. hapa jf utasema 'rafiki yangu blah blah' wakati jf swaga hizo hazifai, kwi kwi kwi
 
mi nafikiri ni ulimbukeni tena wakifikra, na kwa mtu mwenye akili timamu na kama mlipendana sana you cant do such kind of things,
 
Wanatuchosha kutujulisha mambo yao binafsi na kutuomba ushauri wakati kukiwa na migogoro, utadhani sisi wanajamvi tulishiriki kuwashauri watongozane na wakubaliane. Upuuuuuuzi!!
 
hivi kunaulazima kama umetengana na boyfriend/girlfriend wako kwenda kuanika kwa facebook!!!

Inaulazima kiasi gani, afu mara nyingi yule anayekuwa na makosa ndo wakwanza kujishuku kwa fb

teh teh

utoto...
 
hivi kunaulazima kama umetengana na boyfriend/girlfriend wako kwenda kuanika kwa FACEBOOK!!!

inaulazima kiasi gani, afu mara nyingi yule anayekuwa na makosa ndo wakwanza kujishuku kwa FB

teh teh

Pole i see kwa kuachika
 
Hivi Kuna ulazima gani wa kuja kututangazia kuwa facebook wanajitangaza!
 
NI ujinga sana kuweka mambo ya mwenzawako hadharani, ni ujinga wa aina yake, kama yamekushinda siuachane nae kwa amani kuliko kupiga tarumbeta kwanye mitandao ya kijamii, kwakweli inakera sana....
 
gango,avatar yako inatisha.kwa nini usiibadilishe?


Na wewe badilisha hii avatar yako inadhalilisha wanawake wa kitanzania kuanika mabega yako na manyonyo hayajashikwa vizuri.

avatar24670_1.gif
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom