Kujisikia kwenda chooni unapokumbwa na mshituko!

Quemu

JF-Expert Member
Jun 27, 2007
984
128
Sijui kama inatokea kwa wengine...

Lakini mwenzenu huwa ninajisikia kwenda chooni kila ninapokumbwa na jambo la mshituko. Mshituko wowote ambao unasababishwa na kubambwa na issue fulani (busted), kupokea habari za kusikitisha/kushtusha, au kushindwa kufanikisha mpango fulani ambao nilikuwa nina upa 99% kufanikiwa.

Ninapozungumzia kwenda chooni, sina maana ya kwenda ku-wee wee

Je ni mechanism gani usababisha hali hii?
 
naona hata mie hinitokea ila nna hisabu ni hali ya kimaumbile, maana huja kwa wakati fulani tu na baada ya mambo kuisha huwa niko normal
 
naona hata mie hinitokea ila nna hisabu ni hali ya kimaumbile, maana huja kwa wakati fulani tu na baada ya mambo kuisha huwa niko normal

Ndivyo inavyokuwa. Mambo yakiwa shwari, system nayo inarudi normal.

Je kuna uhusiano wowote na level ya metabolism ya mtu?
 
..Have you Heard of Flight and Fight System!?, Dealing with Hormone Adrernaline.

Some women when they receive Shocking News they usually break up and start the cycle right away. This is caused by hormonal stimulation and Excessive Blood flow in the blood vessels, Also Uterus disentegration. Perhaps, You have almst similar case, but in your case you tend to take a dump instead of resuming PMS.

You should Look Online, for more clue and heads-up,

Sio infection I blv, but If symptoms get out of control and bothers you - seek medical advice / phsycho-logical treatment

-BooSt3D
 
kwa sababu ya mshituko misuli (muscles) yote ya mwili ina pararaizi kwa wakati ule na hivyo kukufanya ukose nguvu ya kuzuia waste products sio kujisikia kwenda chooni tu bali hata jasho hutoka kwa kasi ya ajabu...mara nyingi wengine hutumia kama moja ya dalili za kua na BP au kisukari...nimetoka kichwani tu mjomba ila biology ya kijamaa bado mipo
 
Back
Top Bottom