Quemu
JF-Expert Member
- Jun 27, 2007
- 984
- 133
Sijui kama inatokea kwa wengine...
Lakini mwenzenu huwa ninajisikia kwenda chooni kila ninapokumbwa na jambo la mshituko. Mshituko wowote ambao unasababishwa na kubambwa na issue fulani (busted), kupokea habari za kusikitisha/kushtusha, au kushindwa kufanikisha mpango fulani ambao nilikuwa nina upa 99% kufanikiwa.
Ninapozungumzia kwenda chooni, sina maana ya kwenda ku-wee wee
Je ni mechanism gani usababisha hali hii?