rodgers kassiki
Member
- Dec 29, 2013
- 28
- 9
Jamani naombeni mnijulishe Kwa Mwenye uelewa nime lipia bodi ya mikopo ya elimu ya ju sh.30000 Kwa mpesa, wamenitumia sms kwamba pesa imesha lipwa lakini Kila niki login inakataa nashindwa kujaza Form za mkopo kabisa system inasema' your credentials you entered do not match with that of the system" re -enter again.
Nimerudia sana bila mafanikio wananirudishia sms Hiyo mara zote .je tatizo ni lipi msaada jamani!
Nimerudia sana bila mafanikio wananirudishia sms Hiyo mara zote .je tatizo ni lipi msaada jamani!