Kujisafisha kwa "toilet paper" dhidi ya maji tiririka chooni, kipi ni sahihi kwa afya?

duh,magazeti/madaftari tena?si magumu sana hayo mkuu?si utakua umekomaa sana nanii?na maandishi yatakuwa yanabakia?utakuta tako limijiandika "yanga yaifumua simba''
😄😄😄😄 hapana mkuu unayapekecha kiasi. Afu hii issue ya kupekecha inasaidia hata kama kuna mtu anakuja maliwato. Akifika mlango we unaanza kupekecha anajua kunamtu anarudi.
 
duh,magazeti/madaftari tena?si magumu sana hayo mkuu?si utakua umekomaa sana nanii?na maandishi yatakuwa yanabakia?utakuta tako limijiandika "yanga yaifumua simba''
hii ya maandishi kubakia sidhani maana sijawahi chunguza. Ila yote sawa kwani yanga kanifumua mie au simba? Afu hii itakuwa miaka ile yanga iko chini ya manj😘😘😘
 
Watu huona kinyaa kushika kinyesi so mi naona bora kufuta na toilet paper kisha maji


Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia hii haiishi maajabu. Kama unaonea kinyaa kinyesi chako huyo mwanao utawezaje kumbadilisha Diapers ? Halafu mtu huyo huyo utakuta anazama chumvini au ni mtumaji mzuri wa salamu kwa kutumia Mic.
 
Inategemea umepata makuzu gani kama unezaliwa sehemu ambapo maji hutumia basi unazoea hivyo kwa wale waliozaliwa sehemu wanapotumia tissue.
Kwa mfano mi nimekuwa natumia magazeti yaani choooni kuna magazeti ba madaftari ya zamani ndio wotetunatumia ila baada ya kuja advance nikakutana na maji aisee mwanzoni niliteseka nikawa nahisi kabsa haya majimaji yanayobaki hayana mavituz kweli ila kwa sasa ninezoea ila mkoani bado ni magazeti na hata wakija kunisalimu mjini wanakutana na tissue paper.

Sent using myLG leon
Hukusoma kule kwa nanihii kule walikuwa wanaita beto..
 
hv mnaotumia maji,naomba niwaulze hv ule ubichi ubichi/yale maji maji ambao hubakia kati kat ya mattercore huwa mnayakausha vp???

sku moja npo Tanga bahat mbaya eneo nlilopo hakukuwa na toilet pepa asee nlikuwa nakaa hata sku 3 bila choo

nlijitahd kujizoesha maji lakn baada ya kurud nyumban nkarud kwny toilet pepa zangu kama kawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu huhisi kama kuna kaharufu ka nnya kanakufuata nyuma nyuma kila uendako
 
Ni vizuri kutumia Maji yanayo tiririka kwenye bomba ukimaliza kujisafisha vizuri waweza kujikausha na Toilet Paper au kitu kingine utakachokuwa nacho kwa wakati huo.
 
Hizi mambo zinategemea tamaduni mtu alizokuzwa. Kuna sehemu wanatushangaa sana kurithi tamaduni za waarabu. Maji ndio huleta usafi kamili, tissue hapana kabisa. Imagine vidume tulivyo na nywele za makalio halafu unachúkua tissue kujifuta, huwezi kuwa msafi hata kidogo.

Majority ya watu wa southern Africa hawanawi maji, wanatushangaa sana tunaotumia maji kujiswafi.
 
Back
Top Bottom