Kujiongezea mapato Serikali ianze kujenga Magereza ya kulipia kwaajili ya wafungwa wenye pesa zao

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Magereza jengeni magereza ya kulipia kwa wenye pesa wanaopenda

Mfano ni huu wa Marekani

 
Kuna kitu kinaitwa equality before the law...

ni takwa la katiba hilo Serekali inapaswa kutoa huduma zote za msingi kwa usawa ......
 
Kuna kitu kinaitwa equality before the law...
ni takwa la katiba hilo
serekali inapaswa kutoa huduma zote za msingi kwa usawa ......
Huduma za msingi zinakuwepo kama kawaida lakini mtu akitaka extra ndio alipie mfana anataka kukaa chumba cha peke yake self contained alipie
 
Back
Top Bottom