Kujikinga na UKIMWI bila kutumia mipira "condoms"

Tabrett

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
514
500
Je jamani nimemaliza kidato cha nne nikapata iv alama 26 lakini ninatuma vyuoni lakini sijanguliwi je nifanyaje wanajamii?
Kheeeeeeeeeeeeeeeeee!jamani nimecheka mno!by the way mi naona hata hiyo iv kama wamekupendelea mno,maana hata kiswahili hukijui!:suspicious:
 

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,450
2,000
Wakuu husika na uzi huu,je,kijana anaweza kutumia njia zipi kujikinga na ukimwi bila kutumia kondom?,
Nimejiuliza hili swali kwasasabu kuna post 1 ya mkuu Mzizi ya kumfurahisha mpenz{kike} kwa kupaka dushelele kitunguu swaumu' hapa alimaanisha hutavaa zana(ndom) sasa vp kuhusu maradhi?,
Ni weledi unahitajika hapa!
Nawasilisha,
Mkuu Larusai Mux Badala ya wewe kuniuliza mimi kuhusu ile dawa niliyokufundisha ya kuweka dushelele maji ya kitunguu Saumu wewe umeamuwa kufunguwa Thread hapa kuulizia mambo ya Ukimwi? Haya waulizie wajuzi watakujibu inshallah mimi sitokujibu kabisa.:mad::angry:
 

Larusai Mux

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
980
225
Mkuu Larusai Mux Badala ya wewe kuniuliza mimi kuhusu ile dawa niliyokufundisha ya kuweka dushelele maji ya kitunguu Saumu wewe umeamuwa kufunguwa Thread hapa kuulizia mambo ya Ukimwi? Haya waulizie wajuzi watakujibu inshallah mimi sitokujibu kabisa.:mad::angry:
mkuu Mzizi Mkavu,sina maana hiyo mkuu!
Kuhusu swaum nimekuelewa vizur sana,nlitaka watu wachangamshe akili na kujikumbusha kuhusu HIV, km unaujuz tafadhali utujuze pia,
Bado tuko pamoja sana mkuu wangu.
 

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
7,087
2,000
Samahani ila naomba kuwauliza nyie mnaosema tuache zinaa. Mungu amesema na kutuamrisha kuwa tupendane, tugawane na tufurahishane kwani ndiyo starehe ya dunia, ya nini tena tusitumie madushelele kadri inavyotakiwa? Tunaposhikwa na nyege dawa ya dushelele si kuwashwa bali kuingia kwenye chemba ya asili iliyo na maji ya moto asilia ili ipate joto na kupoza hiyo chemba, kwa nini tuinyime dushelele haki yake? Na kama hii ingekuwa rahisi basi watu wasingetoka nje ya ndoa zao. Ni maoni yangu tu jamani msinirushie mawe, mie siyo CCM.
 
Top Bottom