Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 979
- 275
Wakuu husika na uzi huu, je kijana anaweza kutumia njia zipi kujikinga na ukimwi bila kutumia kondom?,
Nimejiuliza hili swali kwasasabu kuna post 1 ya mkuu Mzizi ya kumfurahisha mpenz{kike} kwa kupaka dushelele kitunguu swaumu' hapa alimaanisha hutavaa zana(ndom) sasa vp kuhusu maradhi?,
Ni weledi unahitajika hapa!
Nawasilisha.