Kujifunza programming bila kwenda chuo

Well, lets do some basic math, shall we;

Nimejifunza 3 to 4 years worth materials in 1.5 years, then nimetumia 1 more year kugain field experience and improving my competence. To further simplify that for you, i used only 2.5 years(you do know the answer of 1.5 + 1 right :D), hence end of basic math.

Sasa sijui hata unamaanisha nini unaposema, "ulishindwa ku keep up na pace ya material ya pale ukaona ujifunze at your own pace"! unaweza elaborate tafadhali?
Nikuulize, kati ya material ya MIT,Stanford and the likes na DIT yapi yanaweza kuwa faida zaidi??

I'm wondering, do you even have/use logic and common sense? how is that even hard to comprehend!!

PS: Labda nikufikirishe kidogo, ushawahi kujiuliza Newton/Leibniz alifundishwa na nani Calculus??
Material ni yale yale dunia nzima ,kama DIT ilikushinda ujie hata ukienda Stanford, harvad au MIT bado yatakushinda tu.
 
I thought you established kuwa OUT, DIT is not the same as UDSM, UDOM etc. Kama material ni universal why are you busy criticising them? But I'm going to guess that because it's not pushing your thinking there's a "but" somewhere
 
Basically, mbwa kala mbwa, end of story :D .
 
Material ni yale yale dunia nzima ,kama DIT ilikushinda ujie hata ukienda Stanford, harvad au MIT bado yatakushinda tu.
Good, "material ni yale yale".

Swali; mbona ile statement yako, "ulishindwa ku keep up na pace ya material ya pale ukaona ujifunze at your own pace! ni vyema umejianika mwenyewe ." na hiki ulichokisema hapa vinaji contradict? Nashindwa kuelewa what is the LOGIC behind your arguments!!
 
Vina jicontradict kivipi? Au lugha ndo huielewi? Bas kukuelewesha turudi nyuma kidogo,kilichokufanya ukakimbia course DIT ni nn?
 
I thought you established kuwa OUT, DIT is not the same as UDSM, UDOM etc. Kama material ni universal why are you busy criticising them? But I'm going to guess that because it's not pushing your thinking there's a "but" somewhere
Mkuu bila ata aibu unauliza swali kama hili,alaf na makofii ya kupongezwa unapigiwa! Aisee!

Ivi mwanafunzi bora kitaifa na yule wa mwisho kabisa wanafundishwa kwa syllabus tofauti au moja?

Au bas kama material ni universal kwann tusiseme UDSM na MIT ni vyuo vinavyolingana ubora,si material ni ile ile?

(DIT is a respected technical school sijai underrate soma vzr andiko langu. )
 
Computer programming is a trade; and Computer science is a profession. Zamani sana kulikuwa na watu wanaitwa typists; watu hao walikuwa wanajua kuandika document mbalimbali kwa kutumia typewriter, lakini ilikuwa ni lazima uwape hand-draft ya document lenyewe. Sasa ndiyo ilivyo Computer Programmer, ukimpa algorithm ya kufanya jambo fulani, atakuandikia program ama nzuri ingawa inaweza kuwa siyo optimal, lakini hajui jinsi ya kudevelop algorithm hiyo yeye mwenyewe. Programmers ni wajuzi wa kutumia libraries sana bila kuangalia optimality ya project.

Mojawapo ya vitu ambavyo nimekumbana navyo sana kubainisha programmers na developers ni kwenye matumizi ya arduino ambayo yamekuwa maarufu sana siku hizi na kuna library kibao mtandaoni. Programmers wanakwapua Library na pamoja na sample program na kujifunza namna ya kuitumia library hiyo kwenye project zao lakini mara nyingi huishia kuwa na system ambayo ama inachukua memory kubwa sana zaidi ya mahitaji, au iko slow sana. Developers wa makini microcontroller iliyoko kwenye arduino board, whether ni ATMega 2560 au ATMega328 na kuangalia registers zinazohitajika kwenye project zao, na mwishowe wanakuwa na program ndogo inayofanya kazi kwa haraka kuliko program inayotumia Library kwani ni kawaida Library kuongeza junk information isiyohitajika kwenye project yako. Jambo la pili ni kwa vile wanajua Library tu, huwa hawawezi kenda nje ya hapo wakati ile microcontroller in functions nyingi zaidi ya zilizoandikwa kwa ajili ya Arduino. Ukimwambia programmer ahamishe program kutoka kwenye ARM Cortex aiweke kwenye Arduino atakwama! Ukiwambia CS afanye hivyo ataifanya kwa muda mfupi sana.
 
hii thread inanifumbua macho kuhusu elimu ya chuo kikuu ya tz ktk masuala ya teknolojia. nasoma kila post, siruki hata moja.

bonge moja ya thread.
 
Kweli kabisa.. Ni sawa na mtu kajifunza jinsi ya kuinstall themes kwenye WordPress tu.. Anamtengenezea mtu website alafu akiambiwa abadilishe kitu anajikuta yupo limited..
 
Mkuu bila ata aibu unauliza swali kama hili,alaf na makofii ya kupongezwa unapigiwa! Aisee!

Ivi mwanafunzi bora kitaifa na yule wa mwisho kabisa wanafundishwa kwa syllabus tofauti au moja?

Mwanafunzi wa kwanza na wa mwisho wanatumia syllabus moja na material moja. That's a 1-to-1 comparison. Syllabus na materials ni tofauti though. Syllabuses are tailored to what you want to achieve, Materials are full-encompassing.

Au bas kama material ni universal kwann tusiseme UDSM na MIT ni vyuo vinavyolingana ubora,si material ni ile ile?

(DIT is a respected technical school sijai underrate soma vzr andiko langu. )

UDSM and MIT havilingani ubora, the latter has nearly unlimited resources and research facilities, but again this falls flat because we are talking about the bare fundamentals of CS/SE i.e "... wanakosa foundation za CS ..." ambazo unasema self-taught people don't have. Mfano if someone learns programming from Coursera if we are pulling ranks then his/her courses are offered by Stanford, Google, UofMichigan etc. With your logic then this person although amesoma online is better than you with your degree au? But when replace Stanford with OUT you say it's not the same yet you say materials are universal. That's the contradiction.

Materials are universal, you can meet anyone in the world and talk general CS/SE, there are only so many ways to write Fibonacci sequences, syntax, algorithms, data structures, architectures, are universal. Other than mathematics there are very few other field with this universality.

So, if someone has the correct materials it doesn't matter where or how he or she learns them. All this while umezunguka hujasema a single thing that someone cannot learn on their own.
 
Hapa naona malumbano mkubwa sasa ipo hivi Mimi binafsi nimeenda chuo nikasoma 4years ila nimetoka pale yaani mh mpaka niliku najionea aibu nilkua najua tuu intro kuhusu programming ikabidi nianze kujjfunza mwenyewe nikaingia zangu w3school ,udemy, nikaanza kula code na kufanya sana exercise nyingi sasa hivi mm naweza kusema
JavaScript's, php,html5,CSS, nipo vizuri ila ujuzi nimejisomea mwenyewse
 
Ukimwambia programmer ahamishe program kutoka kwenye ARM Cortex aiweke kwenye Arduino atakwama! Ukiwambia CS afanye hivyo ataifanya kwa muda mfupi sana.
That is too dangerous of an assumption! Having programmed embedded devices, I can tell you that I have helped people who have degree in CS and Masters degree that could not do what you are saying they can do quickly. Note that I'm not CS degree holder or anything and we never learned that in Uni.

So it boils down to passionate learner practicing the real things. Whether learning through online, formal best, formal vyuo mbuzi, or under tree. What matters is (1) what you learn (2) how do you practise and master it. CS guy can be better or worse, so is a self taught guy!
 
Basi wewe una akili tofauti na hongera sana. Nina sample kubwa sana ya programmers walioshindwa kuhamisha C-Code za Code Warrior kutoka HCS12 kwenda Arduino Mega. Baada Freescale kununuliwa na NXP, walisimamisha support ya Code Warrior, kwa hiyo tukaamua kuhamishia project zetu kwenye Arduino. And that became a project by itself, jambo ambalo tulidhani litakuwa rahisi kwa programmers, tulijikuta tunatumia resources nyingine kuwaandikia coding instructions.
 
Nakubaliana na wewe tatizo ni kubwa sana la developers kushindwa kufanya wanachopaswa kufanya Nilikuwa narekebisha ule usemi wa mtu wa CS atafanya kwa urahisi.

Tatizo hilo hapa Bongo ni kubwa zaidi mara elfu. Na wengi wanaofanya vibaya ni wenye degree na masters. Bitter truth, lakini ndio hivyo tena!

So kwa Tanzania ni kukomaa kujifunza mwenyewe. Naweza kusema vyuo vinaongeza thamani kidogo sana. Wakiacha kutoa karatasi ya ku certify kuwa una degree, nina uhakika wengi hawatasoma!
 
mimi huwa sisikilizi wala kujali mtu kama ameenda chuo au hajaenda nataka kuona project aliyofanya maana wanafunzi wa chuo wanaongea sana shit japokua na mimi nimeenda chuo lakini wanafunzi wengi wa chuo vimeo kupata degree haikufanyi wew kuwa bora zaidi ya mwingine ubora unakuja jinsi gani unaweza kukitumia ulichojifunza sio vingapi umejifunza.
 
Unabishana mtu unapoteza muda wako kaa kimya watu hao wanaamni ukikaa darasani Zaid unakuwa guru kumbe hawajui practical Zaid inakufanya unakuwa guru hatar mana unakutana na changamoto Zaid na unajifunza kwa undani Zaid
Sijaenda shule yeyote ya uchoraji lakini at amy day i can shame most of the guys waliopitia vyuo vya sanaa za uchoraji!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom