Kujifungua kwa njia ya upasuaji

sw33tboy

Member
May 24, 2011
42
4
Ni njia gani unaweza kufanya ili kutunza tumbo lisiwe kubwa baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji
 
inategemea wamekupasua vipi,kama kisasa zaidi unafunga tumbo kama kawaida
 
tumbo wala haliwi kubwa mkipata mpasuaji mzuri
Suala sio mpasuaji mzuri inategemea na tumbo ulilokuwa nalo na jinsi utakavyoji tune baada ya upasuaji kwenye masuala ya mlo. Mie nilipigwa kisu na Mimba yangu tumbo lilikuwa kubwa c mchezo baada ya kujifungua sikulifunga na nilipasuliwa vzuri tena chini kabisa kuelekea kwenye kibofu na sio nyuzi za kufumua, Dr. akasema after 4weeks naruhusiwa kulifunga km nina stomach Support sikulifunga due to pressure ya wazazi ya kutolifunga kuhofia kutibua kidonda so tumbo likawa kubwa ila baada ya muda likapungua.So Unaweza fanya hivyo na kupunguza kula ovyo na pia umuulize Dr. aliyekuipa kisu, All the best
 
Suala sio mpasuaji mzuri inategemea na tumbo ulilokuwa nalo na jinsi utakavyoji tune baada ya upasuaji kwenye masuala ya mlo. Mie nilipigwa kisu na Mimba yangu tumbo lilikuwa kubwa c mchezo baada ya kujifungua sikulifunga na nilipasuliwa vzuri tena chini kabisa kuelekea kwenye kibofu na sio nyuzi za kufumua, Dr. akasema after 4weeks naruhusiwa kulifunga km nina stomach Support sikulifunga due to pressure ya wazazi ya kutolifunga kuhofia kutibua kidonda so tumbo likawa kubwa ila baada ya muda likapungua.So Unaweza fanya hivyo na kupunguza kula ovyo na pia umuulize Dr. aliyekuipa kisu, All the best[/QUO thax
 
Back
Top Bottom