Kujichubua!agghhhhrrrrrr

Siku naona kina cheusi dawa wanapungua tu...

Ila tuache utani, mtoto Jacky Wolper msuuriiii.....:hungry:
 
huyo mtangazaji wa star tv alikuwa mzuri tuu.....lakini kadanganywa na kina maimartha sasa kawa kituko....hebu muone huko kwenye vipingili vya mikono....mmmh ulimbukeni gharama
 
dah! yule mzembe pale nyuma kapotea kabisa ulimwenguni, kapata ka ukumbi kana AC kaona isiwe tabu, mzembe hafai kabisa kuandikishwa jeshi.
 
hebu nipe upembuzi yakinifu juu ya yule wa mwisho kulia....aminia!!!
 
dah! nilikuwa sjaona ile lori ya scania, dah mama kachomoza li paja na li mkono tu lakini kachkua nafasi kubwa ya picha kuliko waliotokeza wazima wazima, hakyanani lile limama likikuambia leo hunusi kitu , inabidi urizie tu. dah! senks mkuu kwa kulizoom lile mama.
 
mna macho nyie.....siwawezi......kuliona hilo limama inahitaji miwani ya giza
 
kajiharibu mno mpaka mi naona kinyaa kumwangalia. sijui anadhani kujichubua ndio urembo!!! Shiiiit!!!
 
mie nampenda asia-huyo mwanamitindo she is 50 ila shape yake mashallah..!:teeth:
 
Siku naona kina cheusi dawa wanapungua tu...

Ila tuache utani, mtoto Jacky Wolper msuuriiii.....:hungry:

dah umenikumbusha mbali kweli.unakuta 'mtoto' mweusiii kama jongoo hafu mzuri yani.O'level tulikuwa nae mmoja wa kihaya,na kama unavyojua figure za kihaya,mtoto guu guu hafu nyuma kafungasha .dah acha kabisa.Mwenzenu demu wa kiafrika napenda awe na melanin ya kutosha!
siku nipate demu wa namna hii,akiwa na vigezo vingine kidogo ninavyovitaka,lazima nitangaze ndoa,duu!
 
Mtu mmoja rangi kibao kwenye ngozi! anatuthibishia kwamba 'Originality is nothing but judicious imitation'.
 
dah umenikumbusha mbali kweli.unakuta 'mtoto' mweusiii kama jongoo hafu mzuri yani.O'level tulikuwa nae mmoja wa kihaya,na kama unavyojua figure za kihaya,mtoto guu guu hafu nyuma kafungasha .dah acha kabisa.Mwenzenu demu wa kiafrika napenda awe na melanin ya kutosha!
siku nipate demu wa namna hii,akiwa na vigezo vingine kidogo ninavyovitaka,lazima nitangaze ndoa,duu!

Uko sahihi, mke lazima awe nachuroo, kweli mimi mtu akijichubua simuangalii mara mbili. Kama ni weupe wa asili sawa lakini wa mkorogo ni kinyaa tu...
 
Kujichubua ni moja ya dalili ya kutojikubali, pia ni umaskini wa fikra; yani kama huyo Saida Mwilima ni kituko pia ni kichefuchefu kabisa, ukimuona unaweza ukatema mate chini tpuuu!!
 
walikua wanaitwa rangi mbili,,,,,,,,,,,,,,,,enzi hizo siku hizi imekua fashion mtaani hatuoni weusi wanajikoroga hadi mapajani....................huyo saida anaishi mwashigini nini hajui hata kujichubua mwambieni aache,alafu dental fumula/domo lake umeliona
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom