Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
hata kama kala mayai ya kuchemsha na maharage?Mkwe hata akijamba mbele yako hupaswi kuziba pua
hata kama kala mayai ya kuchemsha na maharage?Mkwe hata akijamba mbele yako hupaswi kuziba pua
huyo mama amemgeuza mwanae mtajiNi hivi umeacha pesa Mkeo kajifungua tena ana siku 10 hivi. Mama mkwe yupo nyumbani kwako halafu wewe ukienda job huku nyuma ni darasa kwa binti yake, "haiwezekani akawa anakuachia pesa ndogo namna hii"...Jioni ukirudi unamsalimia M'mkwe hakujibu, siku ya pili anaamua kukupa live....hebu mruhusu mtoto wangu nikamuuguze kwangu...hebu niambie utakuwa na ujasiri wa kukaa kimya? @ BADILI TABIA. Baada ya wiki mbili Mama anadai fidia ya shilingi miliioni moja kwamba ametukanwa...
Ni hivi umeacha pesa Mkeo kajifungua tena ana siku 10 hivi. Mama mkwe yupo nyumbani kwako halafu wewe ukienda job huku nyuma ni darasa kwa binti yake, "haiwezekani akawa anakuachia pesa ndogo namna hii"...Jioni ukirudi unamsalimia M'mkwe hakujibu, siku ya pili anaamua kukupa live....hebu mruhusu mtoto wangu nikamuuguze kwangu...hebu niambie utakuwa na ujasiri wa kukaa kimya? @ BADILI TABIA. Baada ya wiki mbili Mama anadai fidia ya shilingi miliioni moja kwamba ametukanwa...
Ni hivi umeacha pesa Mkeo kajifungua tena ana siku 10 hivi. Mama mkwe yupo nyumbani kwako halafu wewe ukienda job huku nyuma ni darasa kwa binti yake, "haiwezekani akawa anakuachia pesa ndogo namna hii"...Jioni ukirudi unamsalimia M'mkwe hakujibu, siku ya pili anaamua kukupa live....hebu mruhusu mtoto wangu nikamuuguze kwangu...hebu niambie utakuwa na ujasiri wa kukaa kimya? @ BADILI TABIA. Baada ya wiki mbili Mama anadai fidia ya shilingi miliioni moja kwamba ametukanwa...
Hakuna sababu ya kujibizana vibaya na mtu yeyote awe ndugu yako au ndugu wa mume/mke wako. Jenga tabia ya kujiamini na siku zote jitahidi kutenda yaliyo ya haki na inapotokea umetenda kinyume uwe mwepesi wa kuomba msamaha. Jitulize, jifunze kukaa kimya na kutafakari kabla hujajibu lolote, usikurupuke, tambua jambo na nyakati za hatari, mdomo wako uwe mzito kutamka usiyokuwa na uhakika nayo. Hii itakusaidia kuishi vizuri na kila mtu, popote.
Ogopa kujiandaa kwa magonvi, yaani usiwe mwepesi kuwaza kuwa eti mtu akija kwenye 18 zangu namlipua, hapana usijiandae kwa mabaya, siku zote waza yaliyo mema. Jifunze kuuepuka uovu. Katika dunia hii hakuna aliyekamilika, kuwa mwepesi kujishusha na kuzielewa tabia za wengine. Jitahidi kuzizuia hasira zako. Simamia msimamo wako usiyumbishwe.
Of course nakuelewa unachojaribu kusema hapa....Hii ni story imemtokea rafiki yangu. For sure binafsi ilinikera kwa sana kwa sababu jamaa akiongea na mkewe wanaelewana vizuri...akienda kazini jioni anakuja kukuta mambo yale yale....Ni kweli kabisa anayepaswa kulaumiwa hapa ni Mke, anayeruhusu Mzazi wake aendeshe nyumba yake...Pointi yangu hapa ni kwamba tusifanye generalization kwamba Wazazi wetu wote wako perfect...kwa utafiti wangu mdogo tu (sio lazima uwe wa kweli) wazazi wa kike (hasa ambao ni single) ni tatizo sana. Jambo la muhimu ni ku keep distance, muwe mnakutana kwenye matatizo tu basi (where necessary lakini)Nisome vizuri mpendwa, ukijibu calmly itamfanya akuogope na akae mbali na wewe. Confrontations ni mbaya sana. Kwani ungemgeukia mkeo na kumuuliza unataka kwenda na mamako akakutunze vizuri zaidi ya ninavyokutunza? Dawa yake umsikie atakavyojibu mbele ya mamake.
Mjinga hapo ni mkeo, angemkemea mama yake kuwa hujui hali yetu na hayakuhusu haya yasingetokea. Na isitoshe mkeo ni mgonjwa sawa, lakini huhitaji kuacha hela ya matumizi kwa mama mkwe wala mamako kama yupo. Mkeo haumwi akili, anahitaji kupumzika. Kutoka alipolala hashindwi kusema mkanunue mchicha na mifupa tuchemshe supu. Binafsi hakuna anaeweza kuhoji matumizi ya fedha nyumbani kwangu unless anachangia budget, na sihitaji kujieleza. Nikiachiwa elfu kumi, mama atasikia namuagiza dada akalete nyama nusu kilo, matunda ya buku etc. Hapo kuna mjadala tena?
Ndo maana naona umuhimu wa kulindana na kujenga himaya yenu isiyoingiliwa na yeyote. Huwezi kuishi kwa std ya nyumbani kwao mwenza wako! Na mwenza wako akijua hili maisha yanasonga.
Imagine familia zetu za Kiafrika, Mama yako Mzazi pia amekuja kuuguza mgonjwa aliyejifungua halafu Mama Mkwe anaomba akakusaidie kuuguza utakubali na kumwambia mama yako arudi kijijini kwake alikotoka au utasema na yeye aambatane na mgonjwa?Usikae kimya.Si kakuomba ruhusa akamuuguze mwanaye mwenyewe?
Mwambie " sawa mama mkwe, haina shida hata kidogo.Basi mcukue tu maana naona utakua umenisaidia kwa kweli.Asante sana kwa msaada."
Kama alikua anatafuta ugomvi na wewe, utakuwa umemmaliza kisayansi.
Of course nakuelewa unachojaribu kusema hapa....Hii ni story imemtokea rafiki yangu. For sure binafsi ilinikera kwa sana kwa sababu jamaa akiongea na mkewe wanaelewana vizuri...akienda kazini jioni anakuja kukuta mambo yale yale....Ni kweli kabisa anayepaswa kulaumiwa hapa ni Mke, anayeruhusu Mzazi wake aendeshe nyumba yake...Pointi yangu hapa ni kwamba tusifanye generalization kwamba Wazazi wetu wote wako perfect...kwa utafiti wangu mdogo tu (sio lazima uwe wa kweli) wazazi wa kike (hasa ambao ni single) ni tatizo sana. Jambo la muhimu ni ku keep distance, muwe mnakutana kwenye matatizo tu basi (where necessary lakini)
Mkwe hata akijamba mbele yako hupaswi kuziba pua
hakuna sababu ya kujibizana vibaya na mtu yeyote awe ndugu yako au ndugu wa mume/mke wako. Jenga tabia ya kujiamini na siku zote jitahidi kutenda yaliyo ya haki na inapotokea umetenda kinyume uwe mwepesi wa kuomba msamaha. Jitulize, jifunze kukaa kimya na kutafakari kabla hujajibu lolote, usikurupuke, tambua jambo na nyakati za hatari, mdomo wako uwe mzito kutamka usiyokuwa na uhakika nayo. Hii itakusaidia kuishi vizuri na kila mtu, popote.
Ogopa kujiandaa kwa magonvi, yaani usiwe mwepesi kuwaza kuwa eti mtu akija kwenye 18 zangu namlipua, hapana usijiandae kwa mabaya, siku zote waza yaliyo mema. Jifunze kuuepuka uovu. Katika dunia hii hakuna aliyekamilika, kuwa mwepesi kujishusha na kuzielewa tabia za wengine. Jitahidi kuzizuia hasira zako. Simamia msimamo wako usiyumbishwe.
Kujibizana na wakwe ni utovu wa adabu kwa kiwango cha juu na hakuna sababu yoyote itakayohalalisha.
Mkwe ni mzazi wa mwenzio.Ukimjibu vibaya ujue mwenye mzazi wake ataumia sana rohoni.
Unachopaswa kufanya pale mkwe kakuboa kupita maelezo ni kumwachia mwenye mzazi wake achukue uamuzi.
Wewe usimjibu mzazi wa mwenzio, mjibu mzazi wako mwenyewe ikibidi.
yote yanawezekana kama haukai nao nyumba moja ila kukaa nao nyumba moja ipo siku mtajibizana haswa maana wazazi wengine wanadandia mambo hayawahusu. Wanataka muishi kama yeye alivyoishi na mumewe, inabidi kwanza atambue hiyo inakua ni ndoa nyingine kabisa na ina sheria zake.
Usipoangalia vizuri utageuka mwamuzi wa "sakata" la mama mkwe na mama mzazi.Imagine familia zetu za Kiafrika, Mama yako Mzazi pia amekuja kuuguza mgonjwa aliyejifungua halafu Mama Mkwe anaomba akakusaidie kuuguza utakubali na kumwambia mama yako arudi kijijini kwake alikotoka au utasema na yeye aambatane na mgonjwa?
Duh JF bhana!!! Nimecheka sanayap!!!unamwambia nasikia harufu ya perfume mmhe'.....tena unataja na jina kabisaaaa!!!! CASABLANCA