Kujiandaa kupeleka bidhaa nje, unahitaji kujua mambo haya

Hizi sites tatizo la buyers wake wanataka utume mzigo kwanza kabla ya pesa. Kuaminiana mtandaoni yataka moyo. Nilijarabu haya tangu 2010~ 2012
Kupata connection sio rahisi kama inavyo andikwa hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo wa mada nimesema ni vizuri kufanya utafiti wa masoko na ikibidi kwenda, pia apo chini nimeshauri kama mtu hana uzoefu ni vizuri kuanza na bidhaa za bei nafuu.

Kwa mfano umempata buyer kwenye site huwa anaweka terms mfano method of payment,shipping terms etc,ukiona izo terms zinakufaa ndipo unaweza tuma quotations kwa buyer .

Na pia kama mtu hana uzoefu ni vizuri kudili Na verified buyer’s na wewe seller’s ni vizuri ukawa verified kwenye website husika
 
Uzi mzuri sana mkuu..
Hiyo ni website gani ya buyers and sellers?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo website inaitwaje!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nami ndo nashangaa kwann halijibu coz tumeuliza watu kama watatu hv ila kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
Inashangaza ila ngoja tusubiri labda hayupo online
Asubiri nini sasa wakati ni kitendo cha kuandika tu
Website zipo nyingi tuu siwezi kushare links hapa nikachezea block ,jaribu ku google ni rahisi tuu
 
Kupata hiyo connection mpaka mtu aku connect lakini sio hii ya online. Utapeli ni mwingi snaa.
Tamaa mbele....
Kuwa makini tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata buyer’s pia wanaogopa kutapeliwa ndo maana kila mtu anakuwa na terms zake,cha muhimu ni kudili na website za kuaminika ambazo ni lazima ulipie.. kuna baadhi ya buyer’s huwa wananunua kwanza sample ya product kwa kiasi kidogo ili ajiridhishe ndo aagize mzigo mkubwa.

Kwa mfano atahitaji uwe una supply karanga kg 1000 kwa kuanzia ataomba utume kwanza kg 10 ajiridhishe kwanza,na ukishakuwa connected na buyer mmoja ni mwanzo mzuri wa kuanza kutengeneza connection.

Mbona kuna watanzania wengi tuu wana export na walianzia posta wewe unakwama wapi ungekuwa umefanya utafiti vizuri basi ungekuwa ushafanikiwa ku export ata bidhaa moja tuu .
 
Mimi nakufata pm Kama huto jali
 
Sasa hii mada yako umeileta hapa ili iweje? Si ungeacha tu, watu wata google huko? Naona unajaribu kutengeneza mazingira kufuatwa inbox ili uwapige, hatari sana.
Kwani kuna tatizo na wewe share izo site 😏😏
 
Tuheshimiane tafadhali, sijamuomba mtu anifate inbox
Mkuu kama una ogopa kweka link za websites hapa, umeshindwa hata kuandika majina tu ya hizo platforms? Kweli? Unatangaza biashara gani hiyo yenye agenda iliyofichika?
 
Back
Top Bottom