Kujiandaa kupeleka bidhaa nje, unahitaji kujua mambo haya

Mkuu kama una ogopa kweka link za websites hapa, umeshindwa hata kuandika majina tu ya hizo platforms? Kweli? Unatangaza biashara gani hiyo yenye agenda iliyofichika?
Mbona sijatangaza biashara jamani zaidi ya kutoa elimu ,sasa izo links ni kitu cha kuficha wakati uki google unazikuta zimejaa mpaka zinamwagika
 
Comment ya Jimbi aloniita kibaka na tapeli imefutwa,so nitaendelea kujibu maswali yenu.
 
Comment ya Jimbi aloniita kibaka na tapeli imefutwa,so nitaendelea kujibu maswali yenu.
Sawa, nyoosha maneno sasa ili kama ni biashara ieleweke vizuri. usipindishe pindishe tena agenda zako. Sawa sawa?
 
Rafiki hivi zile mashine za kusaga mdalasini na viungo vingine kama tangawizi na karafuu ni bei gani? na je kuna sehemu vinauzwa kwa jumla vikiwa tayari vimesagwa?
 
Rafiki hivi zile mashine za kusaga mdalasini na viungo vingine kama tangawizi na karafuu ni bei gani? na je kuna sehemu vinauzwa kwa jumla vikiwa tayari vimesagwa?
Bei ya mashine inategemea na muuzaji kila mtu ana bei yake, kwa ninavyohisi viungo vilivyosagwa vinapatikana kariakoo sokoni, pia kuna mashine ya kusagia viungo ipo ilala sijui exactly sehemu ilala wapi mie niliambiwa ivo na mtu anaye fanya biashara ya viungo.
 
Okay asante.
 
Kwa hiyo tangu April 2020 mlikua mnabishania majina ya hizo links mpaka leo Feb 2021 jamaa hajatuma? Ok ngoja tuendelee na hiyo Go4worldbusiness dot com
 
Back
Top Bottom