Kujiajiri

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Mlioko tayari,vijana kumi tufungue saccos yetu,kama mpo tayari niambieni tupeane ujanja wakuandika proposal chap.
 
kwa nini saccos mkuu
usikute una mawazo ya kujitajirisha hara,will never work my brother
 
Mlioko tayari,vijana kumi tufungue saccos yetu,kama mpo tayari niambieni tupeane ujanja wakuandika proposal chap.

Tafadhali mi pia nahitaji ila sina hela ya kukupa so kama unampango wa kukusanya pesa mi nifute kabisa
 
Back
Top Bottom