Kujiajiri kumbe kuna historia...

joseph mzuma

Member
Dec 31, 2015
59
125
Habari wanajukwaa!
Nina mtizamo wa kujiajiri katika biashara ya nafaka tangu natoka chuoni sikupenda kuajiriwa maana nilijua ni hiari yangu! Nimechunguza maendeleo yangu katika kujiajiri nimegundua historia ya maisha yangu inanirudisha nyuma hivyo nimehiari kuajiriwa na sitakuwa na hiari ya kutofanya kazi kwa bidii kwa mwajiri wangu naomba mwenye taarifa zozote za wapi nawezapata ajira yoyote ya kuniwezesha kuingizia hata 350,000 kwa mwezi tafadhali anisaidie hiyo fursa nijikomboe kutimiza ndoto yangu kwa mwaka huu!


Kwa upande wa taaluma yangu mimi ni mhitimu wa chuo na nimesomea shahada ya sayansi na elimu hivyo mimi ni mwalimu wa kemia na biolojia!

Nina uwezo wa kufanya kazi yoyote ile endapo nitapewa maelekezo ya namna kuifanya kazi hiyo

Natanguliza shukrani zangu za dhati...
 

Idofi

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
2,012
2,000
mara nyingi kipaumbele cha kwanza iwe kujiajiri kwenye fani uliyosemea, ila nimeona gazeti serikali itaajili walimu wa sayansi na hisabati
 

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
963
1,000
Itaajir, future tense, sawa nakusubr embe chini ya mnaz, tangu serikali ianze matamko haya muda gani umepita? Mwaka sasa! Hakna haja kusubr ajira za serikali bora kufanya kile kinachowezekana!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom