Kujenga eneo la wamachinga kwenye hifadhi ya barabara kuu.

kantalambaz

JF-Expert Member
Dec 24, 2017
1,878
872
Kujenga eneo la wamachinga kwenye sehemu ambayo ni hifadhi ya barabara,ili kuwaondoa katikati ya mji je huku ni kuwasaidia au ndiyo kufukia shimo kwa kuchimba shimo?
 
Back
Top Bottom