Mwanzo wa uzi mpaka mwisho ni mikia tu wanapiga kelele. Aiseee!!! Utadhani wameanza zamani kujaza huo uwanja.SIKU YA MWANANCHI TULILIPIWA KIINGILIO NA MANJI?
Mngelipiwa na Manji Uwanja ungejaa lakini kwa kuwa uwezo wa kujilipia Hamna ndio maana mlishindwa kuujaza Uwanja,WanaYanga mpira ni gharamaMwanzo wa uzi mpaka mwisho ni mikia tu wanapiga kelele. Aiseee!!! Utadhani wameanza zamani kujaza huo uwanja.
Kazi ipo Kaka.
Niulize tu Mtani umeanza kulijua hili lini? Au baada ya kuja Mo.Mngelipiwa na Manji Uwanja ungejaa lakini kwa kuwa uwezo wa kujilipia Hamna ndio maana mlishindwa kuujaza Uwanja,WanaYanga mpira ni gharama
Hivyo na siku ya wananchi tulilipiwa? 😳😳Mngelipiwa na Manji Uwanja ungejaa lakini kwa kuwa uwezo wa kujilipia Hamna ndio maana mlishindwa kuujaza Uwanja,WanaYanga mpira ni gharama
Manji arudishiwe Yanga yake!
Viingilio vya buku mbili mbili ndio vinakupa jeuri. 😀😀😀.Mngelipiwa na Manji Uwanja ungejaa lakini kwa kuwa uwezo wa kujilipia Hamna ndio maana mlishindwa kuujaza Uwanja,WanaYanga mpira ni gharama
Sasa mnajaa mechi ya utambulisho na kirafiki, halafu mnakata upepo hamjai mechi ya mashindando, hizo akili zina joto au baridiiii?SIKU YA MWANANCHI TULILIPIWA KIINGILIO NA MANJI?
Mawazo ya Yanga ni ya ligi ya Bara tu. Simba hawachagui mechi, wanajaa tu! Kumbuka walitoka kufungwa 5 na Al Ahly kule Cairo, kabla ya mechi nyingine kuchezwa iliyofuata ni hiyo hiyo Al Ahly hapa Dar, na watu walijaa kama wote! Sasa itakuwa mechi ya Kagera ambayo ilikuwa haiathiri ubingwa wa Simba?! Hebu fikirieni mechi za CAF CL ambazo walau mtaambulia 600M muwalipe akina Dante na Yondani, achaneni na mawazo ya Simba kufungwa na Kagera au Mbao, hizo ni timu za kutafutia tu tiketi ya kucheza CAF CL, ambapo Simba ilivuna 1.3BNimekubali mnaujaza Uwanja Mtani. Nasubiria mechi na Kagera muujaze napo. 😀😀😀
Mmmh. Unasema huwa hamchagui mechi munajaa tu. Unaongea uhalisia Mkuu au ndio ile ilimradi?Mawazo ya Yanga ni ya ligi ya Bara tu. Simba hawachagui mechi, wanajaa tu! Kumbuka walitoka kufungwa 5 na Al Ahly kule Cairo, kabla ya mechi nyingine kuchezwa iliyofuata ni hiyo hiyo Al Ahly hapa Dar, na watu walijaa kama wote! Sasa itakuwa mechi ya Kagera ambayo ilikuwa haiathiri ubingwa wa Simba?! Hebu fikirieni mechi za CAF CL ambazo walau mtaambulia 600M muwalipe akina Dante na Yondani, achaneni na mawazo ya Simba kufungwa na Kagera au Mbao, hizo ni timu za kutafutia tu tiketi ya kucheza CAF CL, ambapo Simba ilivuna 1.3B
Mmmh. Unasema huwa hamchagui mechi munajaa tu. Unaongea uhalisia Mkuu au ndio ile ilimradi? Mbali na zile mechi tano sijui sita za Champions league na mechi ya simba na Yanga ni mechi gani nyingine mulijaza Uwanja? Niambie. Na hapa tunasemea kujaza Uwanja na si hayo mengine. Au ndio mnasemea mechi za Champions League pekee?
😀😀😀 Yaani hiki ndio kipindi ambacho Watani zangu mnajifanya mna huruma kuliko kawaida. 😀😀Jazeni uwanja muwalipe hawa vijana hela zao, maisha yao yote wanayaendesha kwa kupitia soka. Mtu anashinda kambini miezi mitatu, hana muda wala sehemu nyingine ya kutafutia fedha, halafu unakuja kumzungusha kumpa malipo yake halali? Nendeni uwanjani mpate hela za kuwaipa vijana
View attachment 1179851
Sidhani kama ni kujifanya kuwa na huruma. Mara zote huwa mjajinasibu kuwa Wananchi mna washabiki wengi nchini kuliko Simba. Lakini hizi statistics zinatia shaka hoja hiyo. Jazeni mlinde hoja, vinginevyo nahisi si hivyo, maybe Simba wapo wengi zaidi nchini, kwa kuwa haiwezekani iwe kwa bahati mbaya kila mara😀😀😀 Yaani hiki ndio kipindi ambacho Watani zangu mnajifanya mna huruma kuliko kawaida. 😀😀
Ya Yanga tuachieni Yanga.
Serikali my frnd. Manji na ST NI paka na panyaManji arudishiwe Yanga yake!