Kujamiana sana eti kunapunguza uwezo wa kumpa mimba mwanamke

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wana JF.
Naombeni nifahamishwe kwa mwenye ufahamu wa masuala ya uzazi hivi kwa mwanaume kujamiana sana kuna uhusiano wowote na kushindwa kumpa mimba mwanamke!
Na Kumpa mwanamke mimba wakati ana mtoto wa miezi 8 ni salama?
 
Sperms zinahitaji muda wa kukaa kwenye spermduct ili ziwe matured,kufanya tendo la ndoa mara kwa mara kunaweza sababisha sperm kutoka zikiwa hazijakomaa na kushindwa kutungisha mimba.
 
chatu dume, nianze na swali la pili. kuna sababu ya kufanya haraka kiasi hicho? mwili wa mama ungependeza kupata mapumziko zaidi. lakini pia kuna suala la kulea mtoto wa miezi nane, ni shughuli nzito na involving. isitoshe mtoto anapaswa kunyonya kwa walau miaka 2, na ikiwezekana 3. usisahau kama mama ni mfanyakazi wa kuajiriwa anapata likizo ya uzazi kila baada ya miaka 3. unless kuna sababu ya maana kufanya hivyo, haishauriwi. ila kama inabidi basi hakuna tatizo (japokuwa mwili wa mama unaweza choka sana, uangalizi wa daktari unahitajika), na wazazi wakishirikiana kuhakikisha mtoto anapata lishe bora mambo yataenda tu
haya, unataka mtoto, na uroho huo sasa wa chakula kila saa,mweeh! katika kila mshindo unapakua hazina. mwili unahitaji kupumzika na kutengeneza mbegu zaidi kwa ajili ya matumizi ya baadae. isitoshe wakati wa mshindo wa kwanza zinatoka mbegu kiasi cha vijiko vya chai hadi 3. mishindo inayofuata kiasi kinaendelea kupungua. hivyo kwa mtu ambaye anapata ugumu wa kupata mimba, inashauriwa kupumzika siku moja kila baada ya majaribio. japokuwa siku ya jaribio unaweza kukomeshea,lol!

Wana JF.
Naombeni nifahamishwe kwa mwenye ufahamu wa masuala ya uzazi hivi kwa mwanaume kujamiana sana kuna uhusiano wowote na kushindwa kumpa mimba mwanamke!
Na Kumpa mwanamke mimba wakati ana mtoto wa miezi 8 ni salama?
 
chatu dume, nianze na swali la pili. kuna sababu ya kufanya haraka kiasi hicho? mwili wa mama ungependeza kupata mapumziko zaidi. lakini pia kuna suala la kulea mtoto wa miezi nane, ni shughuli nzito na involving. isitoshe mtoto anapaswa kunyonya kwa walau miaka 2, na ikiwezekana 3. usisahau kama mama ni mfanyakazi wa kuajiriwa anapata likizo ya uzazi kila baada ya miaka 3. unless kuna sababu ya maana kufanya hivyo, haishauriwi. ila kama inabidi basi hakuna tatizo (japokuwa mwili wa mama unaweza choka sana, uangalizi wa daktari unahitajika), na wazazi wakishirikiana kuhakikisha mtoto anapata lishe bora mambo yataenda tu
haya, unataka mtoto, na uroho huo sasa wa chakula kila saa,mweeh! katika kila mshindo unapakua hazina. mwili unahitaji kupumzika na kutengeneza mbegu zaidi kwa ajili ya matumizi ya baadae. isitoshe wakati wa mshindo wa kwanza zinatoka mbegu kiasi cha vijiko vya chai hadi 3. mishindo inayofuata kiasi kinaendelea kupungua. hivyo kwa mtu ambaye anapata ugumu wa kupata mimba, inashauriwa kupumzika siku moja kila baada ya majaribio. japokuwa siku ya jaribio unaweza kukomeshea,lol!

Mkuu King'asti, nashukuru sana kwa majibu yako murua!
 
mimi ninavyofahamu kunaleta matatizo ya kuumwa kichwa na mafua na uchovu sana
 
uongo in amaana swala nyingi kuna madhara or u gain more sio kila alicho sema mzungu iwe yes kwenu,
sasa kwa hili ni kupanga na kuweza kutambuana kwa wale wenye upendo wa kweli huwa wanafanaya kwa mpangilio sio wajinga wanafanya kama dose.
Conquest-hata maandiko yametuambia kupanga kwa kila jambo
 
haina madhara yoyote na suala la kutunga mimba
Wana JF.
Naombeni nifahamishwe kwa mwenye ufahamu wa masuala ya uzazi hivi kwa mwanaume kujamiana sana kuna uhusiano wowote na kushindwa kumpa mimba mwanamke!
Na Kumpa mwanamke mimba wakati ana mtoto wa miezi 8 ni salama?
 
Wana JF.
Naombeni nifahamishwe kwa mwenye ufahamu wa masuala ya uzazi hivi kwa mwanaume kujamiana sana kuna uhusiano wowote na kushindwa kumpa mimba mwanamke!
Na Kumpa mwanamke mimba wakati ana mtoto wa miezi 8 ni salama?

Labda tungeanza na hapo kwenye kujamiiana sana...una maana gani? kujamiiana mara kwa mara...kwa siku, kwa wiki, kwa mwezi?
Sperm zinazalishwa kwenye kende, inachukua siku 10 kumature, kisha zinatunzwa kwenye mrija unaitwa epididymis mpaka zitakapotolewa. Mwanaume mwenye afya anazalisha sperm cells kati ya 100 - 150 million kila siku, na karibia kiasi hicho chote u'mature'. Kwa hiyo, kufanya kila siku si tatizo la kukusababishia ukashindwa kumpa mimba mwanamke.

Mara nyingi watu huwa tunaangalia texture (uzito na rangi) ya sperm ndo kudhani ni bora...si kweli, idadi ya mbegu kwenye bao zito na bao jepesi is more or less the same. Zaidi ya hapo, nimeshaona wanaume kadhaa ambao wamepima mbegu zao (katika harakati za kutatua tatizo la kukosa mtoto) ambazo zipo nzito tu kama kawaida lakini hamna serm cell na hivyo hawawezi kumtia mwanamke mimba.

Kuhusu kumtunga mimba tena mwanamke mwenye mtoto wa miezi 8....si sahihi hata kidogo! Ujauzito na kuzaa ni stress kubwa kupita zote ambazo mwili wa mwanamke unaweza face..kuna mabadiliko makubwa ya kihormone, ambayo yanapelekea mabadiliko makubwa ya kifiziolojia na kisaikolojia, inachukua muda mwili wa mwanamke kurudi katika hali yake ya kawaida, na kisha kujiandaa kwa ajili ya stress nyingine kama hiyo tena. Inashauriwa kisayansi angalau si chini ya miaka miwili tangu ajifungue. Hii pia inampta nafasi mtoto kupata lishe (maziwa) na mapenzi bora ya mama ambayo ni muhimu sana kwa makuzi ya mtoto huyo hasa kiakili na kihisia.
 
Back
Top Bottom