Kujamba

Status
Not open for further replies.

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,216
113,510
Hivi wanyama kama ng'ombe, mbuzi, mbwa, kuku, nk. nao hujamba kama binadamu?
 
Lol...hii mbona mmeihamishia huku? Kwani kuna ma Veterinarian huku?
 
Animalia wote wanajamba. Lakini ndege, wadudu na wengineo hawajambi.
 
wenye makalio kama sisi wote najamba ondoa shaka biology hapa imelala
whats more..free ask
Conquest
 
kwani hamjui kuwa kujamba ni kupumua?kila kiumbe kinapumua na kujamba ni kupumua kwa njia ya haja kubwa,kuna watu wanajambia mdomoni unaweza kumkimbia harufu ya ushuzi wake,kuna kujamba mkojo hamjui?au hilo mnasemaje wapendwa?hamjawahijamba mkojo?
 
Hakuna kitu chenye raha hapa duniani kama kuachia kaushuzi kidogo ni raha ya ajabu asikuambie mtu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom