Kuja tupeane Maujanja ya tomato sauce

Mr simple M

JF-Expert Member
Sep 18, 2020
2,069
4,294
Bandugu ebu tupeane Maujanja zaidi ya kutumia hii kitu tomato sauce unayoyajua wewe au ndo kuweka tu kwenye chips kama nijuavyo mimi au kuna vitu zaidi tujuzane tafadhali.

Ahsante

Amani iwe nanyi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom