Kuja kwa Brasil Tanzania na "short memory" ya F Kaijage | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuja kwa Brasil Tanzania na "short memory" ya F Kaijage

Discussion in 'Sports' started by Hofstede, Jun 3, 2010.

 1. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Tusipoangalia ujio wa Brasil Tanzania unaweza kufanya tupoteze kumbukumbu zetu kwa shauku na hamasa. F Kaijage msemaji wa TFF anasema kuwa Brasil ikicheza na TZ jumatatu itakuwa inacheza kwa mara ya pili katika ardhi ya Africa, amesahau kuwa confederation ilifanyikia south Africa pia ambapo brasil ilishiriki. Pia anaposema kuwa Brasil kucheza na Tanzania itakuwa ni timu ya sita kwa bara la Africa baada ya Nigeria, Cameron, Egypt, South Africa, Zimbabwe na sisi tutakuwa wa sita, World cup 2006 Brasil ilicheza na Ghana kwenye last 16 wakawafunga 3-0. Hivi TFF hawana hata Mtandao wawe wanatafuta habari kabla ya kuja Public? Mkongo uliopigiwa debe na JK ni wa nini?. Msikilize

  [video=vimeo;12259040]http://vimeo.com/12259040[/video]

  source: kennedytz blog

  http://www.youtube.com/watch?v=M6R_8eraIho
   
 2. c

  chibhitoke Member

  #2
  Jun 3, 2010
  Joined: Jun 1, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Madoido ya huyu jamaa katika kuzungumza nayafananisha sana na ya Mhe Tendwa aka ''mzee wa kukopa''
   
Loading...