kuitwa kwenye usaili wa sensa wilaya ya temeke.

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
166
njoo na vyeti vyako vyote halisi, jina la mjumbe muhimu pamoja na mtaa. USISAHAU KITU KIDOGO CHA KUWAPOZEA ILI UPATE NAFASI MAANA MPO WENGI. MIKOANI HUKO VIPI?
 
njoo na vyeti vyako vyote halisi, jina la mjumbe muhimu pamoja na mtaa. USISAHAU KITU KIDOGO CHA KUWAPOZEA ILI UPATE NAFASI MAANA MPO WENGI. MIKOANI HUKO VIPI?

Hiyo ni kwa wale ambao hawana ajira.

Kinondoni waliojiandikisha ni 500,
Waliopita ni 200,
Usaili umefanyika leo na baadhi yao wamekosa,wamebaki kama 100 na kitu.
Ila kigezo kikuu ni Mwandiko

PENYE UZIA....
 
Waini msije mkasema serikali yenu haiwajali.

Hizo ndio ajira million kadhaa mlizo ahidiwa!
 
Hiyo ni kwa wale ambao hawana ajira.

Kinondoni waliojiandikisha ni 500,
Waliopita ni 200,
Usaili umefanyika leo na baadhi yao wamekosa,wamebaki kama 100 na kitu.
Ila kigezo kikuu ni Mwandiko

PENYE UZIA....
tehh kuhusu mwandiko hlo neno maana wengine miandiko yao!!!!!!!!! imepinda c mchezo
"anna watoto ishirini na wajukuu thabba"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom