Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,510
KWENU ir NI KARIBU NA DODOMA NDO MAANA!Mbona tangazo linaeleweka vizuri tu Mkuu????????
KWENU ir NI KARIBU NA DODOMA NDO MAANA!Mbona tangazo linaeleweka vizuri tu Mkuu????????
Mbona tangazo linaeleweka vizuri tu Mkuu????????
UDOM!...wanatutega bila kuzingatia hali zetu za kipato kweli huu ni unyanyasaji......au ndo applicants wote ni competent?!..............
majina nazani hawajatoa-utaratibu wao mbovu sanaambaye ameona gazeti lenye hayo majina atujuze jamani, ni gazeti gani.
Jamani naomba mtu anayeweza atuwekee hilo tangazo hapa maana c wengine tunatumia cm pdf hazifunguki.
Hapa hakuna ambaye hajaelewa kikubwa ni kwamba tangazo lina kera kwa mtu mwenye akili timam ila kama unapenda msaragambo linaeleweka kabisa.Simple exampo ni walioitwa nacte na national audit zile nafac 100. waliomba watu kibao japo interview ilikua kikanda kuna walioumia kiasi kwamba usione nafac ni nyingi ikazani utapata. hiyo ni kujuana mpaka sasa 300 walishafanya wale 100 napo kizaazaa tupu. ngoja tuone mimi niliomba siwez poteza mda wangu japo nina nauli na gpa walizoandika.
Jamani nimepitia mtandao wa UDOM nimeona wamekweka tangazo la kuitwa kwenye Interview ila liko tooo general, nimewapigia baadhi ya watu ninaowafahamu hapo UDOM nao hawaelewi kwanini liko hivyo.
Yaani wanataka watu walio-apply waende kwa ajili ya written Interview bila hata kuwa-shortlisted, sijajua wanamaanisha nini hebu nisaidieni mwaya labda kwasababu mimi ni mwalimu wa kiswahili. View attachment 38965