euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,741
- 4,081
Ni WengiAisee ajira ngumu. Pamoja na mshahara mdogo Mahakama lakini walioomba ni wengi inaonyesha. Marafiki zangu 4 wote wamepigwa chini
Nimeshangaa sana. Watu 4 ninaowafahamu wote hawapo kwenye Short listNi Wengi
Mahitaji Ya Ajira Ni Makubwa Sana
Kuna Mtu Mmoja Alisoma Singida Kiwango Cha DiplomaNimeshangaa sana. Watu 4 ninaowafahamu wote hawapo kwenye Short list
Sema HawA Jamaa naona kama wanaupendeleo kwenye kushortlist yaan wanawachuja watu juu kwa juu bora hata ajiraportal ukiwa na vigezo lazima uitwe then unaenda kupuyanga Mwenyewe kwenye mchujo hukoAisee ajira ngumu. Pamoja na mshahara mdogo Mahakama lakini walioomba ni wengi inaonyesha. Marafiki zangu 4 wote wamepigwa chini
Kwanini upoteze nauli yako?Sema HawA Jamaa naona kama wanaupendeleo kwenye kushortlist yaan wanawachuja watu juu kwa juu bora hata ajiraportal ukiwa na vigezo lazima uitwe then unaenda kupuyanga Mwenyewe kwenye mchujo huko
Wanaoomba Wanatoka Sehemu MbalimbaliKwanini upoteze nauli yako?
Mimi niliweka document zotee nikakosaa!!!sahiz nawaza kwann nimeweka zoteKuna Mtu Mmoja Alisoma Singida Kiwango Cha Diploma
Ingawa Huyu Hayumo Hakuweka Vyeti Vyote Japo Nilimsihii
Aweke Documents Zote
Kumbe Hatari TupuHiyo tume ya mahakama suala la ajira linaendeshwa kwa rushwa tupu yaani tume inayosimamia haki inafanya mambo yake kiushwa rushwa. nina uthibitibisho toka kwa rafiki zangu
Hebu tuambie.Hiyo tume ya mahakama suala la ajira linaendeshwa kwa rushwa tupu yaani tume inayosimamia haki inafanya mambo yake kiushwa rushwa. nina uthibitibisho toka kwa rafiki zangu
Hiyo tume ya mahakama ssuala la ajira linaendeshwa kwa rushwa na kujuanaKumbe Hatari Tupu
Yaani Mambo Huko Nako Ni Yai Bovu
Nikikuambia itasaidia nini? Hata kama wewe ni kitengo kile cha kuzuia hiyo,wote ni mle mleHebu tuambie.
KumekuchaNikikuambia itasaidia nini? Hata kama wewe ni kitengo kile cha kuzuia hiyo,wote ni mle mle
Mambo Kumbe Ni Hovyo HovyoHiyo tume ya mahakama ssuala la ajira linaendeshwa kwa rushwa na kujuana