Kuitwa kwenye usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama

Aisee ajira ngumu. Pamoja na mshahara mdogo Mahakama lakini walioomba ni wengi inaonyesha. Marafiki zangu 4 wote wamepigwa chini
 
Aisee ajira ngumu. Pamoja na mshahara mdogo Mahakama lakini walioomba ni wengi inaonyesha. Marafiki zangu 4 wote wamepigwa chini
Sema HawA Jamaa naona kama wanaupendeleo kwenye kushortlist yaan wanawachuja watu juu kwa juu bora hata ajiraportal ukiwa na vigezo lazima uitwe then unaenda kupuyanga Mwenyewe kwenye mchujo huko
 
Kwanini upoteze nauli yako?
Wanaoomba Wanatoka Sehemu Mbalimbali
Nakuelewa Vema, Fikiria Mtu Atoke Kigoma, Buhingwe, Ngara Kagera, Serengeti, Mara
Unakwenda Dar es salaam Usaili
Nauli Huko Kote Mpaka Dar es salaam Siyo Chini Ya Elfu Sitini
Hujala, Hujalala
 
Nikikuambia itasaidia nini? Hata kama wewe ni kitengo kile cha kuzuia hiyo,wote ni mle mle
Kumekucha
Kumekucha
Wote Wameoza Na Kupungukiwa Utukufu Wa Mungu.

Hali Kweli Tete Kama Mji Wa Homes Syria
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom