Kuitwa kwenye usaili nafasi za kazi TPA

Hizi nafasi ni kwa ajili ya waliosoma abroad na wapo exposed,hatuwezi weka makapuku sehemu nyeti kama bandari mkajifunzie kazi pale
 
ww ujielewi kabisa
Tusiojielewa tupo wengi na ndio maana JPM anahangaika na majipu kila uchao huku tukiwa hatupigi hatua yoyote ya maana kwa miaka karibia 50. Na tatizo zaidi ni sisi tusioelewa kujitambua kuwa hatuelewi hivyo kuendeleza matumaini kwa wengine bila kujua kuwa sisi ndio vikwazo.
 
Probability ya waombaji kupata ni finyu watu wengi kuliko posts. LAPF waliwahi kuhangaisha watu IFM, ikafuata DUCE mwisho wa siku ilikiwa wanapeana mtoto wa bosi fulani, ndugu kwa ndugu inaleta usumbufu sana hizi interview za kibongo. Nchi za watu computer tu inachambua kama umejaza cv vibaya inakula kwako
 
Back
Top Bottom