Kuitwa kwenye usaili kwa professionals waliiomba nafasi za kazi za Magereza za tarehe 18/04/2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuitwa kwenye usaili kwa professionals waliiomba nafasi za kazi za Magereza za tarehe 18/04/2012

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by majorbuyoya, Jun 17, 2012.

 1. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ndugu wana JF, natanguliza heshima zangu kwenu. Nimeona tangazo la kuitwa kwenye usaili professionals walioomba kazi Magereza katika gazeti la Mwananchi la leo tarehe 17/06/2012. Kama uliomba tafuta hili gazeti na uangalie jina lako kama lipo kwenye short list. Nimeshindwa kuyaweka majina hapa, kwa yeyote atakayefanikiwa kuyaona anaweza kuweka majina hapa. Nawatakia mafanikio mema wote mlioitwa!!
   
 2. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  good and keep it up but next time try harder and harder.
   
 3. URASSA THE DON

  URASSA THE DON Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  anayeweza kutuwekea hayo majina atusaidie jamani
   
 4. r

  raha54 Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jesh la polis vp bad ama mpaka bajet ipite!
   
 5. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #5
  Aug 28, 2014
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 798
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  Mchakato ndiyo unaendelea sasa hivi kama ni recent graduate omba
   
 6. M

  Man tindwa JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2014
  Joined: Aug 3, 2013
  Messages: 305
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Someni tangazo jamani tarehe na mwaka 2012
   
 7. umuhiri marato

  umuhiri marato Member

  #7
  Aug 28, 2014
  Joined: May 8, 2014
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mbona tarehe inatatanisha mwaka 2012?
   
 8. r

  rolla JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2014
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 1,235
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  acha bangi ndugu yangu
   
Loading...