Kuitwa kwenye usaili jimbo la Kigamboni na Ubungo-NEC

Mm n ubungo, niko kata hapa now lkn cjaona jina langu
Nmefika lkn waalimu ndio wanapewa nafasi na wana chemba lao la ndani huko ofisini ndio wanaandika majina, wengine choka mbaya wanapigwa na jua yn kama binadamu wangekuwa n solar panels bc tungekuwa tumeshazalisha umeme wa kutosha
 
Kukosa kadi ya ccm kumeninyima fursa ya kupata pesa kiulaini..

Lakini kamwe swez kuwa nayo. Najua huu ndio mwisho wao. Mungu ibariki Tanzania, Mungu Mbariki Tundu Lisu. #Niyeye
 
Habari zenu jaman...Naomba kujua wale waliofanya usaili manispaa ya kinondoni je sms za kwenda kwenye semina mmepata na je wap mmepangiwa mana mm nashangaa nimefanya kinondon usaili ila nimetumiwa sms jana usiku na manisapp ya temeke kuwa semina duce ...Naomben taarifa wakuu
 
Kukosa kadi ya ccm kumeninyima fursa ya kupata pesa kiulaini..

Lakini kamwe swez kuwa nayo. Najua huu ndio mwisho wao. Mungu ibariki Tanzania, Mungu Mbariki Tundu Lisu. #Niyeye
Mtangulize Allah kwa kila jambo, si wote wenye kadi wamepata na si wote wasio na kadi wamekosa.
Pia n vyema kujipunzia matarajio makubwa , ili kupunguza stress.
 
Upo wap??temeke wamebandika kila kata..kwahy kama haujaona jina lako jua tayar wamevyeka ....uvccm ndo wanachukuliwa sna
Niaj mkuu mm nilifanya usail kinondon ila nashangaa sms nimetumiwa na manispaa ya temeke inakuwaj mkuu hii...Waliofanya usaili kino wenzangu mje mnisaidie
 
Habari zenu jaman...Naomba kujua wale waliofanya usaili manispaa ya kinondoni je sms za kwenda kwenye semina mmepata na je wap mmepangiwa mana mm nashangaa nimefanya kinondon usaili ila nimetumiwa sms jana usiku na manisapp ya temeke kuwa semina duce ...Naomben taarifa wakuu
Ndo maana ukawekewa nauli elfu ishirin kwa siku fuata maelekezo ulipoitwa
 
Back
Top Bottom