Kuitwa kwenye usaili jimbo la Kigamboni na Ubungo-NEC

Hiyo unakuja kupangiwa siku ya mwisho kabisa yaani tarehe 27 usiku ndo utaambiwa position yako! Unaweza kuomba usimamizi wa kituo ukapewa ukarani.
upewe taarifa trh27, trh28 utaenda kufanya nini ikiwa hujaijua shughuli unayoenda kufanya!! Lazima kutakua na semina elekezi.
 
upewe taarifa trh27, trh28 utaenda kufanya nini ikiwa hujaijua shughuli unayoenda kufanya!! Lazima kutakua na semina elekezi.
Soma vizuri utaelewa... Nimeandika position yako utapangiwa tarehe 27 usiku! Haihusiani na semina!! Semina itafanyika tarehe 25 na 26 mtakuwa wote mliopata nafasi mtapewa Semina ya jumla!!
 
Kiliko nikuta jana pale taifa kwa mkapa baada ya kupata nafasi ya kuingia kwenye interview!!...haha naingia tuu nikamuona jamaa yangu ambae nimesoma nae chuoni??jamaa kuniona akaniita kwa ishara ya macho??...nikamfata...akanambia andika jina namba na jimbo lako??kama wanavyo fanya wengine!!!>>jamaaa anacheka hana mbavuu...kuhusu maswali akanambia broo we nenda tuu hhahah!!!
Hongera, kamanda mjini bila conection unaweza usiambulie kitu
 
Back
Top Bottom