Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,044
- 1,996
Ndugu zangu habari za majukumu,nina mdogo wangu wa kike alisoma course ya record and management,sasa ameitwa kwenye interview TRA Dare salaam .Sasa najua humu wajuzi wapo wengi wenye kutoa ushauri kabla ya kwenda kwenye interview afanye nini lakini pia wakati wa interview afanye nini.Kama kuna anaejua huwa wanauliza nini zaidi kulingna na hicho alichokisomae watusaidie kutupa ABC,natanguliza shukrani.