Kuitwa kwenye interview

Habari wakuu, kuna ambaye ameshaitwa kwenye usahili MDH kwa kazi walizotoa September na November?
Siku hizi mashirika yamegeuka kutangaza huku wakiwa na vimemo viunoni,, nadhani watakuwa wameshawafyekelea ,mbali
 
Ofisi yao ya Geita imeshafunguliwa...hizo zilikua za mkoa gani ?
 
Back
Top Bottom