edger jairos
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 335
- 71
Jaman naomba msaada kwa anaefaham kampuni ya imports international Tanzania ltd, nimeitwa kwenye interview ,kesho kitengo cha salesje, mwenye uzoefu na hiyo kampuni interview zao huwa zikoje na changamoto kiujumla zikoje?