kuitwa kazini usaili wa sekretariati August 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuitwa kazini usaili wa sekretariati August 2012

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ba nso, Sep 10, 2012.

 1. b

  ba nso JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  wadau usaili ulio fanyika kuanzia august 6, 2012 secretariati haija ita kazini? Kama bado mbona muda unazidi kwenda na walisema tutaitwa ndani ya mwezi 1?
   
 2. K

  Kikomelo Senior Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Walisema mtaitwa au walisema wataita waliofaulu? Ukiona kimya potezea, na umeniudhi sana kwa kichwa chako cha habari!
   
Loading...