Kuitwa interview Tanesco

Kakomae Mkuu Utatoboa Tu kuna mwamba Mtoto tu wa Mkulima tu amekula shavu Tanga kujuana kupo ila ikifika siku yako Lazima tu Upate 💪
 
Kakomae Mkuu Utatoboa Tu kuna mwamba Mtoto tu wa Mkulima tu amekula shavu Tanga kujuana kupo ila ikifika siku yako Lazima tu Upate
Ndio hvyo Kuna wakati mwingine huwa wanajisikia aibu kuchakachua kutokana na mazingira fulani mfano ikitokea Kuna Bosi wa kutoka mbali amekuja kuwatembelea na kuulizia habar za usahili.
Hapo ndio huwa wanajistukia na kuwaingiza wa halali.
 
Kabisa Boss Uko sahihi.
 
Asante kiongozi ninachohofia ni mambo y kujuana halafu sina ndugu mbeya so nisije nikaingia cost kumbe jamaa wanamtu wao

Hili ni wazo dhaifu sana, ni namna masikini tunavyofeli. Si kwamba si changamoto au si tatizo, tunajua fika zinakuwepo hizi,lakini, wewe utafanya nini sasa? Mwokozi wako ni kichwa chako na Mungu pekee. Wengine huwa tunajidai kusingizia sababu hii wakati kiukweli tumechoka kichwani, uwezo mdogo bora hata huyo anaepigiwa mchongo.

So, huna haja ya kulifanya hili kuwa ajenda, kaonyeshe uwezo wako.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom