kuitwa kwenye usaili au kazini??Wakuu hivi nafasi walishaita kada zote!?
Kuitwa kwenye usahili nyanda za juu kusinikuitwa kwenye usaili au kazini??
Mbona watu washaitwa mfano.Stores officer,supplier/stores assistant wote imefanyika tareh 22 /july juziKuitwa kwenye usahili nyanda za juu kusini
tutakulawapi!? Ndo sehemu kuliaYes! Tanesco ni taasis kubwa walitakiwa kutoa majina kwenye web yao kama utumishi
Ndio hvyo Kuna wakati mwingine huwa wanajisikia aibu kuchakachua kutokana na mazingira fulani mfano ikitokea Kuna Bosi wa kutoka mbali amekuja kuwatembelea na kuulizia habar za usahili.Kakomae Mkuu Utatoboa Tu kuna mwamba Mtoto tu wa Mkulima tu amekula shavu Tanga kujuana kupo ila ikifika siku yako Lazima tu Upate
Kabisa Boss Uko sahihi.Ndio hvyo Kuna wakati mwingine huwa wanajisikia aibu kuchakachua kutokana na mazingira fulani mfano ikitokea Kuna Bosi wa kutoka mbali amekuja kuwatembelea na kuulizia habar za usahili.
Hapo ndio huwa wanajistukia na kuwaingiza wa halali.
but kuanzia mwezi agosti,2019 matangazo ya tanesco yote yanapitia utumishi sasaKabisa Boss Uko sahihi.
Sina hakika na Hilo,Je kuna nini kimefanya iwe hivyo Mkuu?but kuanzia mwezi agosti,2019 matangazo ya tanesco yote yanapitia utumishi sasa
tarehe 22July,2019Sina hakika na Hilo,Je kuna nini kimefanya iwe hivyo Mkuu?
sijui jinsi ya ku upload document ninge attachtarehe 22July,2019
Check PM mkuu nimekutumia Email.sijui jinsi ya ku upload document ninge attach
Check PM mkuu nimekutumia Email.
nishakutumia tayari kakaCheck PM mkuu nimekutumia Email.
Mkuu ukiipata hiyo document naomba unipasie, nakutumia email PM
nishakutumia tayari kaka
Asante kiongozi ninachohofia ni mambo y kujuana halafu sina ndugu mbeya so nisije nikaingia cost kumbe jamaa wanamtu wao