Kuitwa interview Tanesco

mundu mkongw

JF-Expert Member
Jun 10, 2015
203
87
Wadau Jana nilipokea simu ya tanesco mbeya kunijulisha kuitwa kwenye interview mbeya kada ya procurement and supply
Naimbeni ushauri kwa wale mliowahi kufanya interview zao
 
Pitia tovuti yao,zielewe Sera na shughuri kuu za tanesco,uongozi wake,hata wizara inayolisimamia.
Vile vile jipange na maswali kuhusu fani yako
 
Cha muhimu jiamini tuliza kichwa na ukifika utumie akili yako vizuri. Pitia mambo ya muhimu na basics za procurement. Then jiandae kwa essay maswali ya uelewa tu.

Ukumbuke pia kusali na kumwomba Mungu, if you are confident and lucky enough you gonna win the battle.

N.B: Omba Mungu isiwe ni issue ya connection maana sometimes huwa watu wanaitwa ili ionekane utaratibu umefatwa.

Thanks.
 
Asante kiongozi ninachohofia ni mambo y kujuana halafu sina ndugu mbeya so nisije nikaingia cost kumbe jamaa wanamtu wao
 
Shukrani kiongozi hilo la kujuana ndio hasa nalifanjia utafiti maana dar hadi mbeya niparefu sana
 
Kama nauli unayo just go kama ni bahati yako utapata. Hata usipopata hiyo nafasi utakuwa umepata experience ya interviews za aina hiyo.

Kusudi ikitokea tena ya aina hiyo ujue wapi pa kuanzia.

Mungu anashughulika na wale wanaojishughulisha.
 
jiandae na pepa mkuu, hayo ya mjuano yapo kila kona mkuu.
halaf mkuu huwez jua hawawez kuwapachika watunkila kada so you never know cha muhimu wewe katimize wajibu wako assume kuna kupata na kukosa.

usipoenda huwezi jua kama ungekosa au ungepata
Asante kiongozi ninachohofia ni mambo y kujuana halafu sina ndugu mbeya so nisije nikaingia cost kumbe jamaa wanamtu wao
 
Mkuu interview wamekwambia ni lini...vipi majina ya walioitwa kwenye hizo interview yako wapi??
 
Kama nauli unayo just go kama ni bahati yako utapata. Hata usipopata hiyo nafasi utakuwa umepata experience ya interviews za aina hiyo.

Kusudi ikitokea tena ya aina hiyo ujue wapi pa kuanzia.

Mungu anashughulika na wale wanaojishughulisha.
Mkuu interview wamekwambia ni lini...vipi majina ya walioitwa kwenye hizo interview yako wapi??
Tarehe 22/7/2019 wanapiga simu hawaweki majina kwenye web yao kama wanavyofanya utumishi
 
Hawa nao hata hawajiongezi kazi kupgia simu waombazi badala ya kuweka majina yote hadharani.
 
Wadau Jana nilipokea simu ya tanesco mbeya kunijulisha kuitwa kwenye interview mbeya kada ya procurement and supply
Naimbeni ushauri kwa wale mliowahi kufanya interview zao
Pepa zao wanakunja kwhy jitahidi usome hakn kitu chepesi.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom