Kuitwa boss ni ishara ya mafanikio?

msemakweli2

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
1,627
1,879
Habarini wana jamvi

Nimekuwa na msururu wa watu kadha wa kadha wananiita boss, kuanzia nyumbani mtaani mpaka ofisini, wakati mwingine naona ghasia na kwamba sistahili kuitwa boss hasa kutokana na kuwa na umri chini ya miaka 30, je wanajamvi wenzangu kuna uhusiano wowote wa kimaendeleo na kuitwa boss jamani??
 
INATEGEMEA UNAITWA BOSI WA NINI NA PIA KATIKA MAZINGIRA GANI.UNAWEZA ITWA BOSI KUMBE WANAKUKEJELI.
 
Habarini wana jamvi

Nimekuwa na msururu wa watu kadha wa kadha wananiita boss, kuanzia nyumbani mtaani mpaka ofisini, wakati mwingine naona ghasia na kwamba sistahili kuitwa boss hasa kutokana na kuwa na umri chini ya miaka 30, je wanajamvi wenzangu kuna uhusiano wowote wa kimaendeleo na kuitwa boss jamani??
usilipende sana hilo neno litakufanya ubweteke kufanya vitu vya msingi,japo hutuka sana kwa sasa maeneo mengi
 
Habarini wana jamvi

Nimekuwa na msururu wa watu kadha wa kadha wananiita boss, kuanzia nyumbani mtaani mpaka ofisini, wakati mwingine naona ghasia na kwamba sistahili kuitwa boss hasa kutokana na kuwa na umri chini ya miaka 30, je wanajamvi wenzangu kuna uhusiano wowote wa kimaendeleo na kuitwa boss jamani??

Wengi wanakuita ' Boss ' sasa hivi kwakuwa tu unazo ( una mtonyo / pesa pamoja na cheo / wadhifa ) ila ' ukipigika ' hao hao watakuwa wa Kwanza kulibadili hilo jina na sasa kukuita ' Bwege '. Unachotakiwa kukijua na kukizingatia mno katika maisha yako ni kwamba duniani kote hakuna Watu ' wanafiki ' wa Kiwango cha Kutukuka kama Watanzania. Kila la kheri!
 
Tuanzia hapa wewe neno Boss unalijuchuliaje au unalielewaje na wewe kwa kujitazama ni kweli unaendana nalo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom