msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,880
Habarini wana jamvi
Nimekuwa na msururu wa watu kadha wa kadha wananiita boss, kuanzia nyumbani mtaani mpaka ofisini, wakati mwingine naona ghasia na kwamba sistahili kuitwa boss hasa kutokana na kuwa na umri chini ya miaka 30, je wanajamvi wenzangu kuna uhusiano wowote wa kimaendeleo na kuitwa boss jamani??