Kuitoa CCM madarakani ni ndoto sana, sema tu wanasiasa hawawezi kusema ukweli mbele za watu

CCM imekita mizizi iliyokomaa, na hii ni kutokana na UTUMISHI wake uliotukuka kwa wananchi. Hivi vyama vingine ni vya kilaghai.

Kinachonifurahisha kwenu nyie magamba ni correlation inayoonekana kati ya IDs zenu na michango yenu! Wewe kweli ni mdudu na akili zako ni za kidudu, eti "utumishi uliotukuka"!
 
wewe jifariji tu kwamba ccm ipo salama,lakini ni kwamba hampo salama,matokeo ya 2010 yanatabiri ccm hazipiti chaguzi mbili mbele wanang'oka,nani alijua slaa angepata milion tatu na jk milion m.tano.anayejiona yupo salama na aendelee kulala.bila shaka wewe ni chadema na unataka ccm waendelee kulala ili wakishtuka wajikute wapo nje
 
Siku ikifika watu wataona kama wanaota ndoto vile kumbe ndio kifo cha ccm! Ni kawaida kwa watu hasa wale tuliowazoea, hatuamini tunaona kama ndoto pindi tunapopewa taarifa kua wameaga dunia!
Kabla ya uchaguzi Joyce Banda alikua anaamini atashinda tena kwa kishindo klakini baada ya kuona mwenendo wa matokeo, alikua hana ujauzito lakini maumivu yake kidogo tu apelekwe leba!
 
Back
Top Bottom