kuitetea CCM ni ushetani(uuaji,ukandamazaji wa hak za binadamui,uchoyo,ulafi)na kila aina ya uovu

leo.leo

JF-Expert Member
Feb 2, 2013
404
209
nashangaa watu wapenzi wa CCM kuitetea chama chao kwa propaganda hata katika mambo mazito kama ya kuuwa binadamu!! hivi ndugu yako akiuwawa katika mazingira ya Mwangosi ,Bomu la Arusha la 15th na n.k bado utatumia propaganda chafu kukisifia chama chako!!?
Utu umetoweka hakika kisa mali na madaraka!!! Huu ni ushetani ,watetezi wa CCM nendeni kwenye ibada za kishetani kwa sababu za Mungu muumba haziwahusu.
 
Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao.
 
nashangaa watu wapenzi wa CCM kuitetea chama chao kwa propaganda hata katika mambo mazito kama ya kuuwa binadamu!! hivi ndugu yako akiuwawa katika mazingira ya Mwangosi ,Bomu la Arusha la 15th na n.k bado utatumia propaganda chafu kukisifia chama chako!!?
Utu umetoweka hakika kisa mali na madaraka!!! Huu ni ushetani ,watetezi wa CCM nendeni kwenye ibada za kishetani kwa sababu za Mungu muumba haziwahusu.

Ndiko kula yao ilipo kwa wengi wanaotetea maovu ya magamba!!
 
Kuzaliwa zezeta(taahira) ni mipango ya Mungu, ila kuishabikia Ccm ni utaahira wa kujitakia.
 
Back
Top Bottom