Kuiteketeza CCM jukwaani kunahitaji siku chache tu. Zitto Kabwe afunika Kigoma, uwanja wafurika hadi kuzidiwa

Kwani umezungumziwa ugonjwa wa mtu hapo?
FB_IMG_1570952637609.jpg
 
Kwa siasa za udaku na umbea za upinzani

Itawachukua karne upinzani kuingia ikulu


2020 kuna hatari vizazi vijavyo vikasimuliwa kuliwahi kuwepo chama kinaitwa Chadema
Wewe mwenyewe tena pekee ndiye unaona umbea upo kwa wapinzani, lakini wananchi wanaona na wanajua umbea chuki fitna zipo CCM kwenyewe, haitachukua karne wapinzani kuingia ikulu kwa sababu wananchi huwachagua kipindi cha uchaguzi ingawa CCM huwaibia kura zao zote, hakuna kizani cha kusimulia kuwepo kwa chadema kwani chadema haitakufa ipo milele japo mnakazana kuiteketeza kwa bidii pasipo kujua upinzani upo rohoni mwa watu kama CCM wenyewe walivyowaonyesha kipindi magufuli anaumwa.
 
Jitutumue tu ungeona umma ulivyolipokea jambo hili usingecomment utumbo huu. Jamaa hapendwi hata chembe hata midoli imemchoka.
CCM wenyewe ndiyo waliongoza kusherekea kuumwa kwake, wana CCM wengi hawampendi kabsa
 
Naona raia wa burundi wamejazana hapo kumsikiliza mzushi akizusha jipya hapo hahahaaaaa ila hamna watu siwapendi kama hawa wanasiasa wa upinzani maana ni wanafiki, mafisadi, weziiii, majizi, alafu yanajifanya yanapigania haki za wa tz maskini pumbavu sana hawa. Takukuru mkimaliza huko lindi kwenye ufuta hamieni kwa hawa mafala wa upinzani.
Huwapendi wewe mchawi wa Ruangwa lakini mbona CCM wenzako hawampendi magufuli? Ufisadi wote nchini umefanywa na watu wa CCM Takukuru waanze na wewe na wale waliopitisha makontena kwa kibali cha RC wako, unafiki chuki ubaya wote upo huko huko CCM usifikiri magufuli hajawajua sasa.
 
Muulize uongo aliowaongopea Ijumaa umeishia wapi? Na nyinyi nyumb basi mjitambue kidogo basi?? Ameshawageuza kama peer sasa mko Kigoma!!
Acha uzuzu wako usizani watanzania ni wajinga kama wewe binafsi, hakuna asiyejua kuwa CCM wasiompenda magufuli ndiyo walifurahia taharuki ya juzi kuliko vyama vya upinzani ingawa CCM kwa kujikosha wameamua kuwapakazia wapinzani uzushi wakiamini pengine watanzania wataamini uzushi wao kumbe wamechelewa kila mmoja anajua Adui wa magufuli ni CCM wenyewe.
 
Mkuu;
Mara hii umeishasahau ''mafuriko ya Lowassa''!

Hoja sio kujaza watu bali hao watu uliojaza wamekubaliana na ulichokisema na pia wamekifanyia kazi!

Kumbuka kwa wengine mikutano kama hii ni sehemu ya kwenda kupitishia siku baada ya kazi!

Baada ya uchaguzi mnakuja na kelele mkisema wameiba kura!
Kama ndiyo hivyo kwa nini wasiende kwenye mikutano ya.ccm na kujaza uwanja? Ni punguani tu ndiye anaweza kuamini kwamba ccm inapendwa na watanzania wote! Nakubaliana na mleta mada kwamba ccm inapumua kwa msaada wa POLISI na gheshi!
 
CCM bila kuiba kura hawashindi hakuna Mtanzania anayejitambua hupiga kura kwa mgombea wa CCM
Ni Dodoma pekee ndipo ccm haihitaji msaada wa polisi kuiba kura.Chaguzi za marudio polisi wanatosha,uchaguzi mkuu sijui watawapata wapi polisi wa kutosha vituo vyote Nchi nzima.
 
wananchi tunakikubali.kura tunakwenda kupiga kwa wingi.
endelea kusema tunabebwa na dola
mkipata sana kuanzia serikali za mitaa ni 1%ya viti mtakavyopata
Mama wa nyumbani kula kulala ndo huwa na akili mgando ndo uchagua ccm,huwezi kuta mwanamke mpambanaji anayejishughulisha apitiaye changamoto za maisha sababu ya Sera mbovu za ccm akaichagua
 
Back
Top Bottom