Kuiteketeza CCM jukwaani kunahitaji siku chache tu. Zitto Kabwe afunika Kigoma, uwanja wafurika hadi kuzidiwa

unajikakamua tu..
ukweli unajua wazushi nyinyi ndio hampendwi
Nchi nzima shangwe tu baada ya maibilisi kudhalilishwa na yahwe
Jitutumue tu ungeona umma ulivyolipokea jambo hili usingecomment utumbo huu. Jamaa hapendwi hata chembe hata midoli imemchoka.
 
Kwa ujumla, vyama vya upinzani havihitaji kuwashawishi watu bali wanatakiwa zaidi kutumia muda wao kupata jibu kwa maswali yafuatayo:

1) ni namna gani watawaondoa makada wa CCM kuwa wasimamizi wa uchaguzi?

2) ni kwa namna gani watawaondoa Polisi kuwa wakala wa CCM badala ya kuwa chombo cha ulinzi cha umma?

3) watawezaje kuifanya tume ya uchaguzi kuwa huru?

4) watawezaje kuliondoa bunge na mahakama kutoka mfukoni mwa serikali?

5) watawezaje kuzuia wagombea wa CCM kutangazwa na makada wenzao wanaosimamia uchaguzi kuwa washindi hata pale ambapo wapinzani wameshinda?

Bila kuwa na majibu sahihi kwa maswali hayo, vyama vya upinzani vinapoteza muda. Kama ni kupata kura nyingi, Lowasa alipata kura nyingi 2015 kuwazidi wagombea wengine lakini hakutangazwa.

Maalim kule Zanzibar, alipata kura nyingi kuliko wagombea wote lakini hakutangazwa

Majimbo mengi, likiwemo la Nyamagana, mgombea wa CHADEMA alishinda lakini hakutangazwa.

CCM na serikali yake ndio wanaoamua nani atangazwe mshindi na nani asitangazwe. Ni maeneo machache sana ambapo wapiga kura walikesha na kuamua kuwa tayari kupambana na polisi kama wangethubutu kusaidia uporaji wa ushindi wa vyama vya upinzani, ndipo makada wasimamizi wa uchaguzi walitangaza matokeo ya kura kwa kadiri ya wananchi walivyopiga kura. Na hiyo ilikuwa ni wakati wa utawala wa JK ambaye alikuwa anauma na kupuliza. Huyu wa sasa hajui kupuliza
 
Mwingine ambaye hakushinda ni Harrison Mwakyembe
 
Mkuu;
Mara hii umeishasahau ''mafuriko ya Lowassa''!

Hoja sio kujaza watu bali hao watu uliojaza wamekubaliana na ulichokisema na pia wamekifanyia kazi!

Kumbuka kwa wengine mikutano kama hii ni sehemu ya kwenda kupitishia siku baada ya kazi!

Baada ya uchaguzi mnakuja na kelele mkisema wameiba kura!

Ni hoja kubwa sana hii, acha kujidanganya ngosha Ng'wamapalala na kutoa utetezi dhaifu kama huu, eti wanatumia mikutano kama hii kupoteza muda. Really?

Kwa hiyo hata wanaomsubiri Magufuli barabarani (japo mahali pengine tunaambiwa huwa wanalazimishwa tu na maDCs na WEOs kama ilivyofanyika juzi kwenye kuandikisha wapiga kura wa uchaguzi wa serikali za mitaa) kumbe huwa wanakwenda kupoteza muda na kushangaa maVX na askari wenye mitutu ya bunduki???

Kualika watu kwenywe sherehe yako na wakaja kula na kufurahi nawe, ni ishara ya kukubalika kwako na watu wanakuwa tayari kushiriki nawe shughuli yoyote ile.....

Ukiona watu wanakususia au unatumia vitisho na mapolisi kulazimisha watu wahudhurie shughuli yako ya sherehe, msiba, harusi ama mkutano wa siasa kama huu ujue una tatizo au kasoro wewe.......!!

Kama jamaa hawakubaliki, wala watu wasingekuwa na taimu kwenda kwenywe mkutano....

Na kumbuka hapo Zito Kabwe hana hata Msanii mmoja wa kutoa "show" ya bureee....

Na kumbuka kuwa, mshindi katika chaguzi za Tanzania kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi SI YULE MWENYE SERA BORA na ANAYEKUBALIKA NA WAPIGA KURA bali ni yule anayetangazwa na tume ama msimamizi wa uchaguzi, mchezo unakuwa umeishia hapo.....

Rejea agizo la Rais John Pombe Magufuli kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya, miji na manispaa wakipewa "OLE" iwapo watamtangaza mgombea asiye CCM kuwa mshindi huku akiwa amewapa fedha, gari la kutembelea na nyumba nzuri ya kuishi....!
 
asipoelewa hapa basi hatoelewa milele
 
Back
Top Bottom